Hili litanishinda labda niwaachie majembe wengine.

Hili litanishinda labda niwaachie majembe wengine.

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
Habari zenu wana-jamvi? ni imani na faraja kwangu kuona yu mzima na kuweza kusoma, kutafakari na kutoa mchango wako wa kiushauri katika uzi huu. Nitaiheshimu michango yenu yote mtakayotoa ingawa natambua hakuna mwalimu wa mapenzi hapa duniani, kila mmoja wetu anakutana na changamoto yake, ambayo kwa mwenzake mwingine ni jambo la kawaida, kwa maana ya kwamba linaweza lisiwe changamoto kwake.


Baada ya maelezo hayo juu, niende moja kwa moja kwenye kiini cha mada, mimi nina mpenzi wangu, ambae kwenye mishe mishe zangu za hapa na pale nimetokea kumpata, nikamtiririkia nia na binti akajaa, tumekua kwenye mahusiano takribani wiki ya tatu (3) sasa.

Kikubwa kinachonipa tabu kwa haka katoto ni pale kalipo kolea kwangu, mtoto yuko kwenye peak na hataki kupoteza hata dakika moja kujua jembe naendeleaje na mambo yangu, anafanya hivyo kwa kutuma ujumbe mfupi, yani SMS, wats up, Facebuk, viber mpaka kwenye skype. Naamini ningekua na blackberry basi hata BBM kingewaka.

Haya yote nimevumilia na naweza kuyamudu, ila hili la kupiga simu mida mibovu bandugu mimi siliwezi, mtoto anapenda kuongea mida ya bundi na sio kwamba mchana havuti uzi, hapana, ila anapenda jembe nifanye nae phone sex (only 18+).

Kutokana na majukumu niliyonayo nyakati zote za kung'ara na kuwaka kwa jua, siwezi kumridhisha kwenye hili. Bandugu naombeni mawazo yenu mtambuka, je niwaachie majembe wangine walifanikishe au nifanyeje?
 
Bado hajakomaa,bado ana mambo ya kitoto,
Mwambie vitu usivopenda
 
"POSSESSIVENESS"
Tabia ya wanawake kulinda pendo lao.
 
kwani wewe unaonaje?


Mkuu naomba kujua umri wako, maana unaweza kunisaidia kujua uwezo wako wa kunyumbulisha mambo, Swala la mimi naonaje halina chumba hapa, nahitaji mawazo yenu mkuu, yangu mimi hayasaidii maana mpaka nafika kwenu nimeyafanyia maamuzi yakashindwa kutatua hili songombingo.
 
Bado hajakomaa,bado ana mambo ya kitoto,
Mwambie vitu usivopenda

Mkuu hawa wenza wetu kwenye pita pita zao kwenye mahusiano nadhani walijengewa misingi hii mibovu, ya kupiga kinanda kwenye button za simu, kwahiyo wenda si utoto wenda ni mazoea yaliyo pitiliza (addiction).
 
"POSSESSIVENESS"
Tabia ya wanawake kulinda pendo lao.

Kwa maana hiyo aniamini vya kutosha? kuna haja yeyote ya kulinda kwa kuweka ulinzi mkali hivi mahali palipo salama?
 
Niachie mm mkuu ni deal nae.. ataomba poo mwenyewe:israel:
 
Mwambie ukweli na pia jitahidi wewe ukiwa na mda uchat nae na umpigie simu hiyo itampa faraja.
Navyoona huyo dada yupo likizo au hana vitu vya kumkip busy.
Hali hiyo ni ya kawaida sana hasa mmojawapo akiwa busy na mwingine yupo yupo tu.Ur big enough u can handle that unless uwe na mpango wa kumpiga chini
 
Wewe ni mwanaume, hebu unguruma basi au sauti yako ni ya kwanza!!!
 
Mpe ukweli kuwa hupendi hiyo tabia. Sasa kama humwambii na bado unapokea sms na calls zake za usiku, huoni kuwa una entertain hilo tatizo!?
Kama vipi msongeshe kipande hii tule zigo na kupokea sms na calls za usiku. Mbona majembe yapo tu!
 
Mi nilipata binti wa mtindo huo pia.. Hadi ikawa kero..
Sasa yote tisa,kumi ndo enzi ya mwanzo ya ofa ya saa 4 usiku hadi asubuhi.. Mama wee.. Ananizungumzisha zaidi ya masaa mawili!
Ila tuliachana kwa amani,na ni mzazi mwenza wa rafiki yangu kwa sasa.
 
Mkuu naomba kujua umri wako, maana unaweza kunisaidia kujua uwezo wako wa kunyumbulisha mambo, Swala la mimi naonaje halina chumba hapa, nahitaji mawazo yenu mkuu, yangu mimi hayasaidii maana mpaka nafika kwenu nimeyafanyia maamuzi yakashindwa kutatua hili songombingo.

Wewe na huyo mwanamke ndio wakuulizwa mna umri gani, hapo tatizo naona lipo kwenye umri kati yenu wawili!
 
Hapo ndio nashindwa kabisa kuwaelewa baadhi ya watu, unaweza kuta issue hii ni simple sana tatizo communication, mwambie hupwndi apige mara kwa mara mwakikishie wampenda na asikusumbue kila wakati, taratibu atakuelewa na ataenda na style yako, kila mapenzi yanastyle yake kwa hiyo ni muhimu kuvumiliana ili baada ya muda fulani muwe kwenye same page
 
mkuuu mi hiyo naiita "Honeymoon period"

yaani kila kitu kinaenda swadakta.

umesema unampenda , usiwe mchoyo basi mpe mtoto kitu roho inataka.
Kama mudaa hauruhusu mueleze " Bibie leo kidogo nimebanwa" na kama hutaki
mambo ya phone sex mwambie baaana usione haya mtoto wa kiume.
Duhhhh we ndo mwanaume wa kwanza kukusikia hupendi mambo matam tam kwenye phone.

Furahia hii "honeymoon period"
Usilalamike bana ukipewa mambo matamu. akikunyima Je????????????????
 
da wiki tatu(3) tayari unaomba ushauri mh...! hilo lako pambana...hata mwezi bado ngoja tuone wengine watasemaje
 
Na kama unampiga/ukimpiga dushe kisawasawa, mbona utashaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom