naomba niitie miss neddy nina mzigo wake aliniagiza
miss neddy nimemwacha hajisikii njema. mimba changa inamsumbua. ningejua ningetumia kondom.
Kumbe mmekutana wapi kama si gengeni?
Hivi Alikiba anajua kuwa wimbo wake wadushelele huku ni uume?
Tumekutania Ikweta Gesht Housh and Hotel.
hiyo natandika vibaya mno
na ndizi mbili lol
Mi na masai dada hatujakutana kwenye kwaya.
ikweta grill
alafu babu wewe unazijua tu sehemu hatarishi
Sio masai dada huyu majina yanafanana
Sasa nini kinakuchelewesha? Afu hii ya leo inaelekea ilikuwa jinsia KE, tamu kama Aspirin.
ahahahahah hivi ndo unavyomvunja moyo hivi utafiti
hapana pale ni sehemu maarufu nilikuwa naendaga pale sharks nilikipua na project paleYani ndo umeamua kabisa kuweka hadharani namna hii? yani unamwelekeza mbwa msikitini mchana kweupe hivi?
Utafiti nimemkabidhi Faiza Foxy, tatizo domo zege linamkosti.
mmh nimeshiba hapa hata kunyanuka siwezi ungenia,bia tangu asubuhi
hapana pale ni sehemu maarufu nilikuwa naendaga pale sharks nilikipua na project pale
alafu sikupendiiiiii
weeeee pale nampa miaka 800
hahaaahaah muachie miss neddy