Habari wadau.
Nimeona Thread nyingi tu watu wanalalamikia vibamia vyao. Leo nimeona nitoe ushuhuda wangu jinsi nilivyoweza kukuza uume wangu. Ni miaka mingi iliyopita nilivochaguliwa kujiunga na shule moja ya boarding hukoo Kanda ya kati. Shuleni hapo hapakuwa na privacy, Yaani toilets zilikua ni kwa haja kubwa tu. Lakini mambo ya washroom ni ya kushare asee. Kuna sehemu imezungushiwa fensi kuwaa kila mtu anweka ndoo yake hapo na kuoga.Same kwa upande wa wadada.
Hali ile ilinifanya nijisikie inferior sana kwani my tool was so small compared to others.Kuna midume imetoka kanda ya ziwa hiyo ina midushee utasema ugomvi. Basi kwa aibu nikawa siogi mida ile ambayo wenzangu hupenda kuoga. Mfano asubuhi na jioni. Nilikua nikioga usiku kipindi ambacho wadau wameenda prepo. Lakini bado mawazo yakaendelea kunitawala na kufanya nisifurahie maisha ya shule. Nikicheki poket mane yangu inasoma vizuri tu na nina muonekano mzuri tu lakini dushee tu ndo lanikosesha raha.
Siku moja nikajawa na ujasiri, Nikatoka shuleni nikaingia mtaani tayari kusaka dawa ya kukuza. Nikafika kwa Maasai mmoja anauza dawa za kionyeji nikamulizia akaniambia nimpatie elf 30. Miaka hiyo ilikua ni kiasi kikubwa cha hela. Nikampatia na kunipa dawa ya vumbi la mizizi iliyosagwa. Akaniambia niwe najichanja na wembe kwenye mzizi wa tool na juu karibia shingoni kisha nipake yale mavumbi. kwa muda wa wiki mbili. mpaka nitakapo ridhika na size niitakayo niache.
Nikachukua dawa ile sikuwezaitumia kwa pale chuo kutokana na mazingira. Nilivorudi likizo nikaanza itumia. Haikuwa rahisi kujichanja na kiwembe mpaka damu itoke kwenye dick ila ndio hivo nilitakiwa kufanya. Ilikua ikiwasha kwelikweli nilipopaka yale mavumbi nikavumilia. Sikumaliza hata wiki mbili dudu likawa kubwa mno ikabidi nikatize dozi. Tena likawa linadindadinda kiasi cha kwamba ilinibidi nivae coast (Chup fulan hivi zilikuaga zamanii) za kubana.
Nilivorudi shule sikona aibu tena, nilikua na amani. Hata Confidence zilizidi. Mpaka leo hii dushee langu liko vyema tu. Natamani sana ningeijua dawa ile inaitwaje. Natamani sana nionane na yule Maasai nimpongeze kwa dawa yake.
Nikimwona mtu analalamika ana kibamia natamani nimwelekeze aende ule mkoa ila sidhani kama atakutana nae yule maasai.