Kwanza kozi ya unesi ni level gani? Diploma au bachelor?Mimi ni mwanafunzi katika chuo flani cha afya,hapa tanzania nikisomea kozi ya nursing niko mwaka wa pili,je kuna uwezekano wa kumaliza unesi na kujiendeleza kuchukua kozi nyingine kama vile medical doctor,
Au pharmacy?
Majibu yenu tafadhali![]()
Kwa Tanzania haiwezekani unaweza soma bachelor of nursing au midwifery au nursing anesthesia ipo muhas au ukasoma environmental health pia health information systems Hila haiwezekani kuhamia stream ya medicine au pharmacy ila kwa Kenya ingewezekanaMimi ni mwanafunzi katika chuo flani cha afya,hapa tanzania nikisomea kozi ya nursing niko mwaka wa pili,je kuna uwezekano wa kumaliza unesi na kujiendeleza kuchukua kozi nyingine kama vile medical doctor,
Au pharmacy?
Majibu yenu tafadhali![]()
Kama ni diploma haiwezekani..ingekua degree ingewezekana. Ila kwa Tanzania japo nje ya Tanzania inawezekana. Kuna jamaa yangu alikua na Diploma ya masuala ya macho akataka kuchukua bachelor ya environmental health.. Akaenda kuulizia TCU wakamkatalia ..Sasa hivi yupo Uganda anasoma Makerer e bachelor ya Afya nyengineNi diploma mkuu
ShukranKama ni diploma haiwezekani..ingekua degree ingewezekana. Ila kwa Tanzania japo nje ya Tanzania inawezekana. Kuna jamaa yangu alikua na Diploma ya masuala ya macho akataka kuchukua bachelor ya environmental health.. Akaenda kuulizia TCU wakamkatalia ..Sasa hivi yupo Uganda anasoma Makerer e bachelor ya Afya nyengine