Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

Role of reserves

Countries hold reserves for a variety of reasons: to build confidence in the national currency, counter disorderly market conditions, support the conduct of monetary policy, build assets for intergenerational purposes, or influence the exchange rate, the report notes.

Countries may want reserves on hand for precautionary purposes—that is, to provide space to country authorities to respond to potential shocks, prevent chaotic market conditions, and avert economic dislocation. They may also hold them for nonprecautionary purposes—for example, an oil-exporting country may set aside as reserves a portion of its revenue to preserve wealth for future generations.

Assessing the appropriate level of reserves to hold is challenging—not just because of the multiple roles played by reserves, but also because of the complexity of quantifying external risks across countries, the IMF report notes.

oes it mean BoT have insufficent reserves?
Soon becoming another zimbabwe and no body in the authority cares,even just to tell Tanzanians whats going on? Inauma sana...
 
Uchaguzi tunatinga na 2000 rate. . . . . .tragedy of the havenots. . . . .the haves are busy choosing wines for dinner
 
Kwa wale wanaotegemea wanaotegemea kulipa ushuru hivi karibuni ni maumivu.
 
Attachments

  • 20150425_024740.jpg
    20150425_024740.jpg
    776.9 KB · Views: 394
Sikuwahi kumfahamu Mhe. Mwigulu Nchemba (MB), Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi mpaka pale alipochangia michango yake yenye kujaa mbwembwe Bungeni. Kitu kimoja ambacho Watanzania walipata kukifahamu kupitia michango hiyo ni kupata kwake kwa First Class ya Economics pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kwa kweli pamoja na m​bwembwe zake nilimpa heshima yake kwa kupata hiyo First class maana si wote wenye uwezo huo..

Mungu si Abdallah wa Athuman, Rais akamwona na kumteua kuwa Naibu Waziri wa Fedha. Swali langu ni Je, ile First Class yake ina-umuhimu gani kama ameshindwa kuikoa Shilingi yetu dhidi ya Dollar?

Pili, nimesikia anania ya kutaka kugombea Urais wa Tanzania.. Je, ishara hii ya kuporomoka kwa shilingi ilihali na yeye ni sehemu ya Wizara ya Fedha.. inaashiria nini kwenye shilingi yetu kama bwana huyu akiukwaa Urais??

Hivi wasomi wote wa uchumi wa nchi hii kweli wameshindwa kuiokoa shilingi yetu wakati nchi yetu haina, vita wala majanga makubwa tofauti na nchi zingine???

Mwigulu ni mtu hatari sana mdhandi, mnafiki na muongo. Mwigulu hana FIRST CLASS YA UCHUMI. Pale mlimani Degree ya kwanza alipata Upper Second and not First Class.
 
I think the Bank of Tanzania are short of foreign reserves. They claim they are holding 4.2 months worth of imports, I very much doubt it.
 
Ndugu zangu hali ni mbaya sana!!! Nchi haipo pazuri mshikaji anacha nchi pabaya.
Halafu hawa hawa tuwape miaka mingine watuongoze!!!! Chingilowen fako kunyenze!! Mbona nchi itawaka moto!!!
 
Mwigulu ni mtu hatari sana mdhandi, mnafiki na muongo. Mwigulu hana FIRST CLASS YA UCHUMI. Pale mlimani Degree ya kwanza alipata Upper Second and not First Class.

  • Naamini Mwigulu mwenyewe atakanusha kuwa si kweli alipata first class, la sivyo tutamsaidia kukanusha hili!​

Sikuwahi kumfahamu Mhe. Mwigulu Nchemba (MB), Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi mpaka pale alipochangia michango yake yenye kujaa mbwembwe Bungeni. Kitu kimoja ambacho Watanzania walipata kukifahamu kupitia michango hiyo ni kupata kwake kwa First Class ya Economics pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kwa kweli pamoja na m​bwembwe zake nilimpa heshima yake kwa kupata hiyo First class maana si wote wenye uwezo huo..

Mungu si Abdallah wa Athuman, Rais akamwona na kumteua kuwa Naibu Waziri wa Fedha. Swali langu ni Je, ile
First Class yake ina-umuhimu gani kama ameshindwa kuikoa Shilingi yetu dhidi ya Dollar?

Pili, nimesikia anania ya kutaka kugombea Urais wa Tanzania.. Je, ishara hii ya kuporomoka kwa shilingi ilihali na yeye ni sehemu ya Wizara ya Fedha.. inaashiria nini kwenye shilingi yetu kama bwana huyu akiukwaa Urais??

Hivi wasomi wote wa uchumi wa nchi hii kweli wameshindwa kuiokoa shilingi yetu wakati nchi yetu haina, vita wala majanga makubwa tofauti na nchi zingine???

  • Naamini Mwigulu mwenyewe atakanusha kuwa si kweli, la sivyo tutamsaidia kukanusha hili!​

Jumatatu ilikuwa 1920, nasikia sasa ishafika 1940..
Mwigulu Nchemba mkuu vipi zile tambo zako za first degree economist zinatusaidiaje?? Au uko busy kukamilisha ile miamala uliyomwahidi A.yatollah
 
Last edited by a moderator:
Subirini tuanze kuzalisha umeme wote kwa gesi. Shilingi yetu itapanda kwa kasi sana(kwa tone yake mwenyewe)
 
Kinachoendelea sasa hivi duniani ni kushuka kwa bei/thamani ya dhahabu, kitu kinachofanya $ ipande dhidi ya sarafu zingine zote (.. haijalishi ni Sterling, Yen, TZS, KSH,.. you name it). Hizi ni nguvu za soko ..
 
Nafikiri tukienda kisomi zaidi na kwa data itatusaidia.

Hebu tuambie, ni kiasi gani TSH imeporomoka dhidi ya $, KSH dhidi ya $, Yen dhidi ya $ na zingine nyingi kutushawishi hoja yako.
 
Dollar iko juu san kiasi kwamb biashar zimesimama watu hawaleti tena bidhaa kutok nje kisa dollar iko juu.Leo Rate iko 1945.Uwiiiiiiiii wiki ijay inawez fika 2000.

Mpaka vasco da gama anaondoka November dola itauzwa buku mbili unusu.
 
Nafikiri tukienda kisomi zaidi na kwa data itatusaidia.

Hebu tuambie, ni kiasi gani TSH imeporomoka dhidi ya $, KSH dhidi ya $, Yen dhidi ya $ na zingine nyingi kutushawishi hoja yako.
Angalia tuu kwenye mitandao ya fedha. Mfano: EUR: Sasa hivi EUR 1 = USD 1.08; ilikuwa I EUR kwa $ 1.4 mwaka jana (imeshuka kwa zaidi ya 30%)
Pound (GBP): Sasa hivi GBP 1 = USD 1.38; ilikuwa I GBP kwa $ 1.7 mwaka jana (imeshuka kwa zaidi ya 30%),.. KES, Yen, Swiss Fr, etc. hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom