Hili limenisikitisha sana!

Hili limenisikitisha sana!

hujaipita mda mrefu eh? Wenzako tushazoea tabu za icho kipande.
Hata kama ulikuwa umelala, lazima uamke, mana brek nying na kona nyingi kukwepa mashimo.
 
Kipande hicho kitatengenezwa mara baada ya kutokea ajali ambayo itasababishwa na hayo mashimo,pole sana na safari na hii ndio nchi yetu nzuri tunayojivunia
 
N kweli kipande hiyo Korogwe -mombo-msambiazi mpaka pale liverpool hotel ni mahandaki matupu.unajiuliza main road yote hii inakuwa hivo? meneja tanroads kalala tu na ana VX la kutembelea kukagua bara bara
 
Ujenzi wa robo kilomita za barabara hiyo utaanza wakati wa kampeni za uraisi 2015 na robo nyingine kampeni 2020, robo nyingine 2025 na robo ya kumalizia 2030. Endelea kuichangua CCM barabara itakamilika. Soma ya Dira ya Maendeleo ya Taifa au Hali ya Uchumi wa Tanzania. Ingia tovuti ya Tume ya Mipango ya Taifa kila kitu kimeelezwa humo. Kipindi kisicho cha kampeni ni cha serikali kulipa wafanyabiashara wanasiasa walioiazima CCM fedha za kampeni kama vile Dowans.
CCM Oyeeeeee !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Mda sio mrefu nchi hii ya amani na utulivu yenye utajiri mkubwa itauzwa na kila mwanchi atatkiwa kwenda kuchukua mgawo wake kwenye halmashauri aliyozaliwa................
 
Mkuu jaribu kwenda Lindi! Kuna 60km za vumbi zinakufanya usahau Kilomita zaidi ya mia 4 zenye lami.
 
kipande cha korogwe-mombo hakifai,siju tanroads tanga wanafanya nini-hakijaharibika leo wala jana,nazan wanasubiri patokee ajali imalize watu then ndo waje warekebishe,
njia yenyewe ni nyembamba bado mashimo kila sehemu,yaan tabu tupu
 
Mbunge wa eneo hilo anatoka Chama gani?

Ina maana magamba unawasahau mshikaji wangu? Swali: Hata kama ni CDM ndiyo MB wa pale ina maana haujui ni nani kasikilia MPINI? Hawa magamba watatumaliza ingali mchana kweupe.
 
Mda sio mrefu nchi hii ya amani na utulivu yenye utajiri mkubwa itauzwa na kila mwanchi atatkiwa kwenda kuchukua mgawo wake kwenye halmashauri aliyozaliwa................
Itauzwa mara ngapi ndugu yangu?
 
Pole mkuu, ndio barabara zetu hizo na karibia tunasherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika
 
Back
Top Bottom