Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Nioe mimi, tukifunga ndoa tu tunaenda kwa wakili ukaandike nilichokukuta nacho ni vyako, mimi na wewe tutaanza tafuta vyetu, kuondoka bila kusema kwani utaenda bila kuandaliwa hata jamani? Bagosha!!
 
We umeoa?
..........
""PPD is a significant cause of disability in the United States. It can lower a person's quality of life and may also affect the lives of their family, friends, and co-workers. PPD can manifest in aggression and violence toward others. As a result, people with PPD may find themselves socially isolated and depressed."""
.….....…...
Mbona sina hata moja?

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Vya kugoogle changanya na zako.

Screenshot_20200424-090959.jpg
Screenshot_20200424-091127.jpg
Screenshot_20200424-091205.jpg

Unforgetable
 
First year huwa mnasumbua Sanaa.. Hamna utofauti na form one au form 5.
Ngoja chuo kifunguliwe mpungue humu.
Mrudishie lecturer notes zake.
Reading threatening meanings into benign events

Sifa moja ya mtu mwenye mental disorder ni denial. Yani hata umuambie una tatizo yeye atakuambia niko sawa.

Pia wana defence mechanism, na denial is the first in the list. Na umemanifest bila wasiwasi.

Umesema hauna PPD, nimekuletea evidence unasema eti ni za first year which is bluffing. Hata kama zingekuwa ni za chekechea hazifanyi ww uliye na miaka 30 usifit, umefit kikamilifu kabisa.

Kwa hiyo mkuu take actions. Remember the first step towards healing is acceptance.
 
Umekula mchana?

I always AGREE to DISAGREE...

Kula Sanaa malimao yanakinga CORONA.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
fanya kitu
Tokea Form 6 nimekua nikiwaza kujiajiri tuu, ila vile maisha ya kiyatima na kimaskini yamenichelewesha kidogo.
Ila nashukuru Mungu Nina miaka 30 na mambo yanaenda (I have started Small..!!).

Nilikuaga mwajiriwa wa private nikaenda serikalini, nikasoma na sasa ni Free soul..!!.

SHIDA IKO HIVI...

Tokea mwaka 2018 nyumbani (walezi) wamekua wakiniuliza ""UTAOA LINI?"" sijawahi kutoa jibu kwasababu ""HATA HUYO WA KUOA SINA..!!""

Nilikuaga na mmoja akazingua na kuniita "KAFIR"" sababu ya ukristo wangu japo nilimsaidia sanaa yule fala mpaka akawa na maisha poa.
ALINIFANYA NIPOTEZE HAMU YOTEE NA LADHA YA KOA au KUISHI NA MWANAMKE PAMOJA TENA.
Tokea jambo litokee ni miaka 5 ila SIJAWAHI TENA KUWAZA.

Kuwaambia nyumbani kuwa SINA MPANGO wa kuoa naogopa maana walezi wangu kila Siku wanaongelea ""Marehemu wazazi wangu wanahitaji kuoana wajukuu wakiwa hukohuko peponi..!!""
Halafu huwa nawaheshimu sanaa walezi wangu, maana bila wao NISINGEKUA HAPA KABISAA.
Naogopa kuwavunja moyo na ukicheki ni wazee (60's).

Na sababu hasa ya KUDELETE KUOA ni..

1. Nimeamua kujiajiri kwa kuinvest.
Sasa najiuliza, Unajihangaisha mwenyewe na kupata mali kiasi, halafu unaoa.
Huyo mke baada ya miaka kadhaa anakwambia tuachane..
YAANI MALI NILIZOTAFUTA MWENYEWE KWA MIAKA ZAIDI YA 5 LEO NIGAWANE NA MTU KISA NI MKE WANGU?
•Juhudi zangu zote ziishe kirahisi hivi, KISA NDOA?

2. Wanaonizunguka asilimia kubwaa wanalia na MATESO YA NDOA ZAO.
Hawa walezi wangu sometimes ni wasuluhishi na huwa wananishirikisha nitoa mawazo yangu.
•SASA WANATAKA NA MIMI YANIKUTE AU..??

3. Nimezoea maisha ya ubachelor na free soul.
Tokea nitoke home kwenda kusoma Diploma mpaka sasa Nina Masters of Science in ..... maisha yangu ni kutembea na kuzurula tu mikoani.
Sasa nioe halafu vile nianze kuomba ruhusa kwa mke wakati mi nishazoea nikiwa bored huwa naenda stendi kukata tiketi halafu ndukii...
Sijawahi KUAGA zaidi ya KUTOA TAARIFA kwa watu wa karibu sana ila SIO KUOMBA RUHUSA.
•Sasa nikishaoa si ndio vile unaanza kuomba ruhusa, kunegotiate na mambo kama hayo na Huyo mke!

4. Kama yule dada nilimkuta na stress za un-employment, nikajihangaisha mpaka akapata maisha.
Ila malipo yalikua ni kuitwa KAFIR kisa UKRISTO WANGU na mema yoteee yalisahaulika.
•Sasa Huyo ajae nae si mwanamke kama yule tu?

Najua...
KUOA NI MUHIMU, FAMILIA NI LAZIMA ila MOYO UMEGOMA KABISAAA.

Nakumbuka mwaka 2018 nilijiwekea malengo "Nikifika 2020 lazima niwe na MCHUMBA au NDOA.
Ila hata DALILI SINA..!!

Sometimes kuna kitu ndani kinaniambiaga ""Ole wako ujaribu, You will doomed""

USHAURI TAFADHALI?
Hebu MLIOA naombeni USHAURI na TECHNICS mlizotumia kuondoa hii COMPLEXITY FEAR ya haya maisha..!!!

KUOA NATAMANI ila ""....…..hiii bagosha (in JPM voice)""

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
fanya kitu moyo unapenda huwez jua! maana sidhan kma wote ulimwengun tutaoa au kuolew..
 
Hapo cha muhimu bro ni kuangalia malengo yako yamefika wapi...kama yamefika stage ambayo inaruhusu ....tafuta mtu ila muda wa kudate inatakiwa uwe conscious saana usichukulie poa ht kitu kiwe kidog saana na jipe mida wa kutosha ubaya au uzur wa hyo mtu utaujua tu kama ukijipa muda wa kutosha mtu hawezi vaa mask muda mrefu....utapata ambae mnaendana tu hamtafikia kugawana mali naamin
 
Back
Top Bottom