Assalam alaykum ukhtyWanaume mna mambo!!!!
😂😂😂😂💪💪💪... ndege yetu ileeeJoanah naomba uniitie manengelo maana nimmemisi kwelikweli halafu leo ni siku ya 3 haonekani hapa kilingeni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]... ndege yetu ileee
hahahaha...huyu mzalendo wa kweli huwa ananiacha hoooiiiimanengelo umemisika uku
Hit = eatMkuu inaonekana unafuraha kama zote ukaona isiwe case uje kututambia uku [emoji16]
Hongera sana kumpata..usi-hit na ku-run sasa