MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,377
- 50,767
Leo Wabongo wameghairi makubaliano baina ya EAC na EU. Inakua vigumu sana kutabiri ndugu zetu hawa, hata kama wana hoja ya msingi au la, tatizo wanakua vigeugeu hadi hawaaminiki kwa lolote. Leo wanakubali hiki, kesho wanaghairi, kesho kutwa wanakubali hicho hicho mtondogoo wanaghairi kile kile cha mwanzo.
Sasa sielewi itakua labda wanawatuma vi.laza kwenye hivi vikao wanaokwenda kushangaashangaa, au kingereza kinakua changamoto kwao. Maana makubaliano mengi sana ya EAC yanakwama kwa ajili ya hili tatizo la Wabongo kusuasua, watakuambia subiri tukakae wenyewe halafu tutakupa jibu, baadaye wanakubali, kabla hamjatulia wanaibuka na kukatalia.
Wengine tukipiga moyo konde na kuamua kufanya maamuzi, Wabongo wanalia ooh mnatutenga, ooh sasa hiyo CoW yenu haitokwenda bila Wabongo. Dah! shughuli sana.