Hili la RC Arusha Mrisho Gambo kuwapa Barua ya onyo Ma- DC Mkoani humo

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,311
6,605
Habari wadau wa JF.

Leo nimesikia habari Magazetini kuwa Rc Arusha ndugu Mrisho Gambo amemwelekeza RAS Arusha kuwapa barua ya onyo wakuu wa wilaya mkoani humo.

Tafadhali aliye na habari kamili atujuze wakuu hawa wa wilaya wamevurunda nini.
 
Wakulaumiwa ni Jiwe...umeona kuona Raisi gani anateua wakurugenzi, wakuu wa wilaya,Das,Ras na wajinga wengine weengi. Tegemea hiyo nidhamu yao kuwa hatarini
 
Wakulaumiwa ni Jiwe...umeona kuona Raisi gani anateua wakurugenzi, wakuu wa wilaya,Das,Ras na wajinga wengine weengi. Tegemea hiyo nidhamu yao kuwa hatarini
Nasikia wengi ni makada wa chama, sasa shida pale moja sio kada watajuta kufahamiana.
 
Nilimsikia Katibu Mkuu Taifa wa ccm akimtaja Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwamba ni miongoni mwa viongozi walioshindwa kuwaleta pamoja wale anaowaongoza. Amesema Ma DC pamoja na Wakirugenzi wamekuwa wakitunishiana misuli bila RC kuchukuwa hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! yule aliyewaita pale ikulu na kuwajaza ujinga ndio huyohuyo leo analaumu. wengine hawajawahi kuwa hata walimu wa darasa maishani ukimpa UDC lazima ainue makalio juu!
 
Duuuhh
 
Back
Top Bottom