Miongoni mwa hoja alizozitoa Mnyika kuhusu watuhumiwa wa kashfa ya rada, ni kuwafikisha mahakamani wahusika walioisababishia hasara nchi yetu katika sakata la rada. Hii ni kufuatia maelezo ya Waziri Chikawe kwamba hakuna ushahidi kwamba kulikuwa na rushwa.
Kwa vile mashitaka siyo ya rushwa tu, kwa nini isifikiriwe kwamba wale waliohusika kushauri na kufanya maamuzi wachukuliwe hatua za kutumia madaraka vibaya au chochte ambacho DPP ataoma kinafaa, badala ya kufunga milango tu as if hakuna kilichotokea. Tumeshuhudia haya kwa akina Mramba na wenzake, Liyumba na hata Jengo wa Benki Kuu na wenzake.
Hakika heshima ya seriakali hii imewekwa rehani kama wataalam watashindwa kushauri hatua stahiki kwa wahusika hata kama ushahidi wa tuhuma za rushwa haupo. Kufukia jambo hili chini ya busati kutalifanya liibuliwe miaka michache ijayo.
Tatizo la mambo kama haya ni kwamba wakifikishwa mahakamani, hawa hawa ambao leo wana dhamana watakimbilia mahakamani kuwatolea ushahidi na hapo ndipo ninapochoka.
Kulingana na sheria zetu, mtanzania anayeishi Tanzania akitaka kufungua account nje ya nchi lazima aombe kibali BOT. Kufungua account nje ya nchi bila kibali cha BOT ni kosa la JINAI na adhabu yake ni kifungo cha hadi miaka mitatu JELA. (Ingawa hii sheria ni MBOVU kwa maoni yangu).
I'm sure 100% Chenge wakati anafungia account yake katika kisiwa Jersey hakuomba kibali BOT. Hivyo kama serikali ingekuwa na nia ya kumfunga Chenge ingetumia sheria hiyo kumfunga jela.
Lakini wapi Chenge afungwe? Nchi itayumba! No wonder aliuwa wale wasichana wawili wa MZA, tena akiendesha gari ambalo halina insurance. Ikaja ikagundulika kwamba alijaribu kugushi insurunace kwa ku back date (kugushi ni kosa la JINAI). Unajua adhabu aliyopewa na mahakama? Tanzania kuna watu wapo juu ya SHERIA na mmojawapo ni ANDREW CHENGE MBUNGE WA BARIADI CCM.
It is not possible simply are they not Tanzanians but they are CCM MP and CCM members mwisho .
Miongoni mwa hoja alizozitoa Mnyika kuhusu watuhumiwa wa kashfa ya rada, ni kuwafikisha mahakamani wahusika walioisababishia hasara nchi yetu katika sakata la rada. Hii ni kufuatia maelezo ya Waziri Chikawe kwamba hakuna ushahidi kwamba kulikuwa na rushwa.
Kwa vile mashitaka siyo ya rushwa tu, kwa nini isifikiriwe kwamba wale waliohusika kushauri na kufanya maamuzi wachukuliwe hatua za kutumia madaraka vibaya au chochte ambacho DPP ataoma kinafaa, badala ya kufunga milango tu as if hakuna kilichotokea. Tumeshuhudia haya kwa akina Mramba na wenzake, Liyumba na hata Jengo wa Benki Kuu na wenzake.
Na huko Kisutu Mahalu ameibuka kidedea wakati dunia nzima inajua jamaa aliiba. Halafu mnadai independence ya judiciary ambayo ni incompetent. Aibu kubwa!
Unauhakika ni yeye aliyewagonga wale wasichana? au kwa vile yeye alikubali kuuvaa uhusika wa tukio lile? Hii ni Tanzania ndugu yangu.Kulingana na sheria zetu, mtanzania anayeishi Tanzania akitaka kufungua account nje ya nchi lazima aombe kibali BOT. Kufungua account nje ya nchi bila kibali cha BOT ni kosa la JINAI na adhabu yake ni kifungo cha hadi miaka mitatu JELA. (Ingawa hii sheria ni MBOVU kwa maoni yangu).