dansmith JF-Expert Member Dec 21, 2013 2,305 2,094 Dec 28, 2015 #1 Wakati akimaliza kutangaza baraza la mawaziri alisema jumla atakuwa na mawari 34 lakini naona wamekuwa 35 je alijichanganya au alishauriwa vibaya Nawasilisha
Wakati akimaliza kutangaza baraza la mawaziri alisema jumla atakuwa na mawari 34 lakini naona wamekuwa 35 je alijichanganya au alishauriwa vibaya Nawasilisha