Hili la Marekani halina utata??

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
2,646
Reaction score
10,028
Muda si mrefu uliopita waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amelitangaza rasmi jeshi tiifu la Iran ( Iran Revolutionary guard) kama ni kikundi cha kigaidi!!!!

Hii imekaaje wadau wanaofuatilia mambo ya kimataifa?? Yaani mfano jeshi letu pendwa la JWTZ liitwe kikundi cha kigaidi na nchi nyingine!!!! Kweli mwenye nguvu mpishe!!!

Source: BBC, New York Times ,RT and Press Tv.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Iran nasikia nae kaweka pendekezo la kuyaita majeshi ya marekani kama Terrorist organizations.
Hawa viongozi wa dunia wa sasa hawajielewi kabisa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran nayo imetangaza marekani ni taifa la kigaidi na jeshi lake ni kikundi cha kigaidi, kwa hiyo Ngoma droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…