Hili la kutoka tausi 304 kwa miaka zaidi ya 30 halafu ghafla kwa miaka minne wanazaliana tausi zaidi ya 2800 nalo linahitaji mjadala

Mzee Kikwete alisema, kila tausi hutaga mayai kuanzia 20 hadi 50.
Tena kasema huyo msukuma aliyefukuzwa ikulu kwa kuchelewa kuweka incubator ilikuwa tausi 1 kataga mayai 50 na akatotoa miwili
Ndio alichokuwa akijiuliza Mh Kikwete inakuwaje iwe namna hiyo.

Kwa maana kwa utotoaji wa incubator na kila tausi alifikisha mayai 40-50 na ukifanya majike ni 200 hiyo hesabu ni ndogo kwa iwapo kama wametaga mara tatu tu utaona walitakiwa wawe wangapi.

Tusipinge kila kitu idadi hiyo huenda ikawa ni ndogo kwa utotoleshaji wa incubator.
 
Hapo hesabu zinaenda sawa. No doubt
 
Matausi majinga Sana..Kuna siku jamaa alikuta rangi ya Gari imeparuzwa vibaya vibaya na tausi..ofisi yao ilikuwa pale Upanga. Lilikua linapigana na image yake kwenye gari
 
Safi kabisa mkuu! Tatizo tuna wajinga wengi wasiolewa wanataka kuona kila kinachoongelewa ni upinzani tu,, upo vizuri mkuu
Kwani hukusikia kuwa JK alimshauri mambo ya kutotolesha mayai kwa incubator? Maana kabla ya kutumia incubator, tausi mmoja alitaga mayai 25 lakini akatotoa mayai mawili pekee. Sasa mjadala unataka uwe kuhusu utotoaji wa bila incubator(asili) dhidi ya utotoleshaji kwa kutumia incubator upi ni mzuri?
 
Wale ambao hatukufuatilia LIVE tulikuwa tayari tumeingia chaka.

Hivi unapoamua kupotosha kitu kilichokuwa MUBASHARA dunia nzima unakuwa umejiaminisha wengine wote hawakuwa na umeme muda huo au hawana TV?

BTW:Kwa nini tausi walipewa badge ya "nyara za serikali"
 
Kwani hukusikia kuwa JK alimshauri mambo ya kutotolesha mayai kwa incubator? Maana kabla ya kutumia incubator, tausi mmoja alitaga mayai 25 lakini akatotoa mayai mawili pekee. Sasa mjadala unataka uwe kuhusu utotoaji wa bila incubator(asili) dhidi ya utotoleshaji kwa kutumia incubator upi ni mzuri?
Watu wengi wamekuwa ni pinga pinga tu na wenye kutoa conspiracies nyingi sana.
 
Back
Top Bottom