Hili la kuliombea taifa limekaaje?

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
715
WANDUGU,
jana nimesikia kuna kamati maalumu itakayoongoza sala na dua maalumu ya kuliombea taifa. dua na sala zitafanyika uwanja wa taifa. jamani yaleyale mambo ya imani, dini hizi.
taifa hili ni mzigo, maisha magumu, huyo Mungu mbona hatusikilizi? watu wanaumia lakini hawasikii. duh kweli nimeamini dini/imani ya Mungu ni kama bangi vile. unalewa na unakuwa mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…