He's very right...Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.
Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?
Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?
Rais ndio anakulipa Mshahara?
Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.
Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?
Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi
Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Sema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
He's very right...
Anafanya kazi iliyopaswa kufanywa na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani).
Paul Makonda anai - challenge serikali iliyo chini ya chama chake anachokitumikia..
Anawakosoa na kuwatumia ujumbe wenzake ndani ya chama na serikali kuwa ni waongo na ni very incompetent...
Paul Makonda is an opposition within the ruling party. Swali ni, atawaweza? Jaribu kufikiri kuwa atapata mwitikio gani?
Watamvumilia?
Na ndugu yangu Megalodon unadhani udhaifu uko kwa Hussein Bashe, mteuliwa wa Rais?.
Hapana....!!
Unafikiri vibaya. Hebu fikiri tena kwa uzuri na mwisho utaelewa...
Iko hivi;
Kushindwa kwa mfumo mzima wa utendaji wa serikali chini ya CCM ndilo tatizo la msingi. Tatizo sio Bashe. Na Paul Makonda kwa kauli na matendo yake anaushambulia mfumo mzima na anatumia Hussein Bashe kwa maslahi yake lakini kimsingi anamshambulia Rais Samia Suluhu Hassan...!
Hii ndiyo hadaa, ulaghai na uongo anausema ndugu Ansbert Nguromo ktk video yake hii[emoji116][emoji116]
View attachment 2892290
Lakini kwa afanyavyo huyu jamaa, ni wazi kuwa anaufunua udhaifu na kushindwa kwa mifumo ya kiserikali kufanya kazi yake...
Tafsiri yake ni kushindwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan na mawaziri wake anaowateua yeye mwenyewe completely..
Hebu rejea kauli za Rais mwenyewe juu ya SGR, umeme na mambo mengine mengi. Huwa ni maneno matupu ya uongo. Vitendo ni sifuri na wananchi wakiendelea kuogolea kwenye shida zilezile siku zote..!
Yaani Leo hii ukimsikia kiongozi yeyote wa serikali kuanzia Rais Samia Suluhu Hassan hadi mawaziri wakitoa ahadi yoyote ya serikali, basi wananchi nendeni mkalale maana mnakuwa mmedanganywa mchana kweupe...
Mifano ya ahadi za uongo kuthibitisha uongo wao ni mingi mno kuanzia ngazi ya taifa na ya kwenye maeneo specific huku chini...!
Kuna watu wanaandika hapa JF siku hizi mpaka unajiuliza, hupati jibu.Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.
Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?
Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?
Rais ndio anakulipa Mshahara?
Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.
Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?
Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi
Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Sukari tu imemtoa jasho huyu MsomaliMakonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.
Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?
Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?
Rais ndio anakulipa Mshahara?
Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.
Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?
Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi
Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Acha chuki wewe CHAWA wa WasomaliKuna watu wanaandika hapa JF siku hizi mpaka unajiuliza, hupati jibu.
Mleta mada huulewi kabisa mifumo ya kiuongozi na kiutawala inavyofanya kazi.
Bashe, mawaziri wote, Waziri mkuu, Makamu wa Rais na hata Rais, wanaweza kuhojiwa na wananchi moja kwa moja au kupitia wawakilishi wao, kama wangekuwepo.
Makonda siyo mwakilishi wa wananchi bali ni msemaji wa chama.
Makonda hana mamlaka yoyote ya kumhoji au kumwajibisha kiongozi au mtendaji wa Serikali. Waziri siyo kiongozi wa chama, ni kiongozi wa Serikali. Waziri hawajibiki kwa chama, na wala chama hakikumteua kuwa Waziri.
Kama chama hakiridhiki na utendaji kazi wa Serikali au wizara yoyote ile, wanayeweza kumhoji ni Rais, siyo waziri.
Makonda si chochote katika Serikali. Hana mamlaka yoyote ndani ya Serikali. Hana uwezo wa kimpangia kazi kiongozi yeyote wa Serikali wala kumwajibisha. Ni kwa sababu nchi yenyewe hii ni banana republic, ndiyo maana kila mtu anafanya chochote anachotaka alimradi ana wajinga wengi wanaomwunga mkono.
Makonda kutokana na ushetani mwingi aliowafanyia watu huko nyuma, anatapatapa sana akiamini kwa kufanya hivyo anaweza kijisafisha na ushetani wake.
sahau makonda hamuwezi basheSema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
Kuna watu wanaandika hapa JF siku hizi mpaka unajiuliza, hupati jibu.
Mleta mada huulewi kabisa mifumo ya kiuongozi na kiutawala inavyofanya kazi.
Bashe, mawaziri wote, Waziri mkuu, Makamu wa Rais na hata Rais, wanaweza kuhojiwa na wananchi moja kwa moja au kupitia wawakilishi wao, kama wangekuwepo.
Makonda siyo mwakilishi wa wananchi bali ni msemaji wa chama.
Makonda hana mamlaka yoyote ya kumhoji au kumwajibisha kiongozi au mtendaji wa Serikali. Waziri siyo kiongozi wa chama, ni kiongozi wa Serikali. Waziri hawajibiki kwa chama, na wala chama hakikumteua kuwa Waziri.
Kama chama hakiridhiki na utendaji kazi wa Serikali au wizara yoyote ile, wanayeweza kumhoji ni Rais, siyo waziri.
Makonda si chochote katika Serikali. Hana mamlaka yoyote ndani ya Serikali. Hana uwezo wa kimpangia kazi kiongozi yeyote wa Serikali wala kumwajibisha. Ni kwa sababu nchi yenyewe hii ni banana republic, ndiyo maana kila mtu anafanya chochote anachotaka alimradi ana wajinga wengi wanaomwunga mkono.
Makonda kutokana na ushetani mwingi aliowafanyia watu huko nyuma, anatapatapa sana akiamini kwa kufanya hivyo anaweza kijisafisha na ushetani wake.
Ili iweje sasa? Hizo ndo drama zenyewe.Wananchi wanatakiwa kuona whole process
Akimuamulia kama Lissu, au Sio!? Alivyopotea mbona hakujiamulia mwenyewe kurudi ulingoni!? Hata bashite naye alipotea, usisahau.Sema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
Acheni kuwapa watu sifa ambazo hawana,makonda ndio nani kwenye Taifa hili mpk Watu wamuogope?Sema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
Hiyo Sio hoja ya maana, Kwa kuwa Rais anaweza kumteua yeyote amtakaye hata ambaye Hana chama akamteua mbunge kwenye zile nafasi zake kumi na akampa uwaziri. Kwa hiyo habari ya chama achana nayo.Huo uwaziri kaupata kupitia Chama gani?
Kwamba Makonda anawakilisha wananchi!? Au umelewa!? Wananchi gani waliomchagua? Makonda anapaswa kuwasemea wana CCM tu na si zaidi ya hapo, angalau Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wana mamlaka hayo kwakuwa wako pale kwa niaba ya wananchi wote.Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.
Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?
Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?
Rais ndio anakulipa Mshahara?
Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.
Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?
Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi
Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Umeandika ukweli mtupu hapa . Mwenezi ana_challenge uongozi wa mwenyekiti na uwezo wake wa kusimamia aliowateua.He's very right...
Anafanya kazi iliyopaswa kufanywa na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani).
Paul Makonda anai - challenge serikali iliyo chini ya chama chake anachokitumikia..
Anawakosoa na kuwatumia ujumbe wenzake ndani ya chama na serikali kuwa ni waongo na ni very incompetent...
Paul Makonda is an opposition within the ruling party. Swali ni, atawaweza? Jaribu kufikiri kuwa atapata mwitikio gani?
Watamvumilia?
Na ndugu yangu Megalodon unadhani udhaifu uko kwa Hussein Bashe, mteuliwa wa Rais?.
Hapana....!!
Unafikiri vibaya. Hebu fikiri tena kwa uzuri na mwisho utaelewa...
Iko hivi;
Kushindwa kwa mfumo mzima wa utendaji wa serikali chini ya CCM ndilo tatizo la msingi. Tatizo sio Bashe. Na Paul Makonda kwa kauli na matendo yake anaushambulia mfumo mzima na anatumia Hussein Bashe kwa maslahi yake lakini kimsingi anamshambulia Rais Samia Suluhu Hassan...!
Hii ndiyo hadaa, ulaghai na uongo anausema ndugu Ansbert Nguromo ktk video yake hii👇👇