Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,405
- 1,847
Mkuu naona unatikisa mzinga kabisa, vipi rwanda kwema?Mbona hata Kabila lako mwenyewe la Kisukuma ni full " matatizo? " Mmeacha ile tabia yenu ya kula kula hovyo pindi muwapo safarini? Ubungo asubuhi mnanunua miwa mnaanza kututafunia ndani ya basi, tukifika mizani mnatafuta mayai ya kuchemsha ili mtujambie vizuri mbele ya safari na hakika huwa tunawakoma, tukifika chalinze lazima mnunue mahindi ya kuchemsha, Msamvu Morogoro mnatafuta mihogo ya kuchemsha, Gairo lazima mnunue viazi vya kuchemsha pale, Dodoma huwa mnatugandisha mno kwani wengi wenu hukimbilia vyooni " kufyatua " mlivyovifakamia katika vituo tulivyovipita, maeneo ya Shelui mtanunua Chips yai na kuku za kuletewa dirishani ambazo hata hivyo nyingi huwapeni sana usumbufu wa matumbo na tukiwa tunataka kuliacha pori la maeneo hayo huwa mnamsimamisha dereva huku mnakimbilia maporini kujisaidia, Singida lazima tu mtaulizia Ugali na wengi wenu ili msichelewe katika basi huwa mnabeba kabisa huo Ugali na mkipanda nao ndani ya basi huwa mnatupa " show " ya bure hasa kwa jinsi mnavyochota na kuutafuna huo Ugali kwani huwa mnatumia sana nguvu utadhani mnaua nyoka, Shinyanga na penyewe mtatafuta vitumbua na hadi tunafika Mwanza pale Kituoni hakika matumbo yenu Wasukuma huwa yanakuwa yamechafuka mno.
Mkuu naona unatikisa mzinga kabisa, vipi rwanda kwema?
Mbona hata Kabila lako mwenyewe la Kisukuma ni full " matatizo? " Mmeacha ile tabia yenu ya kula kula hovyo pindi muwapo safarini? Ubungo asubuhi mnanunua miwa mnaanza kututafunia ndani ya basi, tukifika mizani mnatafuta mayai ya kuchemsha ili mtujambie vizuri mbele ya safari na hakika huwa tunawakoma, tukifika chalinze lazima mnunue mahindi ya kuchemsha, Msamvu Morogoro mnatafuta mihogo ya kuchemsha, Gairo lazima mnunue viazi vya kuchemsha pale, Dodoma huwa mnatugandisha mno kwani wengi wenu hukimbilia vyooni " kufyatua " mlivyovifakamia katika vituo tulivyovipita, maeneo ya Shelui mtanunua Chips yai na kuku za kuletewa dirishani ambazo hata hivyo nyingi huwapeni sana usumbufu wa matumbo na tukiwa tunataka kuliacha pori la maeneo hayo huwa mnamsimamisha dereva huku mnakimbilia maporini kujisaidia, Singida lazima tu mtaulizia Ugali na wengi wenu ili msichelewe katika basi huwa mnabeba kabisa huo Ugali na mkipanda nao ndani ya basi huwa mnatupa " show " ya bure hasa kwa jinsi mnavyochota na kuutafuna huo Ugali kwani huwa mnatumia sana nguvu utadhani mnaua nyoka, Shinyanga na penyewe mtatafuta vitumbua na hadi tunafika Mwanza pale Kituoni hakika matumbo yenu Wasukuma huwa yanakuwa yamechafuka mno.

Ahahaha hapana mkuu,naweza thibitisha nilisemalo!Rekebisha kauli yako Mkuu nakuhakikishia katika Makabila ambayo yanaongoza kuwa na Watu wastaarabu, siyo malaya, wenye roho nzuri, wapambanaji, wakarimu, wacheshi na werevu sana Tanzania nzima ni Wazanaki wa kutoka Mkoani Mara na Wayao wa kutoka Mkoani Mtwara. Kama huna taarifa au ufahamu nao uliza mtu yoyote hapo jirani yako akuthibitishie. Kwa niaba ya Wazanaki na Wayao naomba unitake / ututake radhi / msamaha upesi na haraka Mkuu.
Salaam..
Baada ya maswahibu mengi yaliyo nikuta kwenye mahusiano(wanao fuatilia nyuzi zangu wanafamu); Nimepata mpenzi mpya ambae kusema ukweli yuko tofauti na waliopita, yani anafaa kabisa kuwa wife.
Tatizo linakuja kwenye kabila lake..ni kabila linalo sifika kwa kuchepuka na hata home huwa nasikia ndugu wakipiga story za kabila hilo huku wakiliponda sana.. Sasa leo najiuliza itakuaje nikiwapelekea mchumba kutoka kabila hilo.. Nahisi vizuizi vitaanza au hata wasipo weka vizuizi basi watakua wana ning'ong'a sana..
NB: Sijalitaja kabila kuepusha mpasuko humu.. Mimi ni msukuma OG kabisa.
haaahaaa daaa nimecheka sana kila naposoma mstari mmoja baada ya mwingine
-🙂
Ahahaha hapana mkuu,naweza thibitisha nilisemalo!
Nilipanga nyumba yao,Mama yake ndiyo alikuwa anamtuma kwangu akimfundisha jinsi ya kunidhibiti kitandani ili nimuoe!Mm walinionya majirani zangu kuwa ndiyo tabia za akina Mama wa Kiyao kwa wageni kama sisi kwa mabinti zao
Siku napata uhamisho kurudi Dar hata sikuwaaga
Hahahahahahhahahahahahahah Dah we GENTAMYCINE yani hua napenda kusoma post zako ni burudani sana hujawahi kushindwa yan unanifanya nawakera watu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeongea point sana bhageshi na umemaliza kila kitu SHIMBA YA BUYENZEUnataka kuoa Mhaya? Oa tu usiogope. Nina braza kaoa Mhaya na wana 20+ years bila matatizo yo yote na binti wa watu ana tabia nzuri ajabu na ndiye amegeuka kuwa kipenzi cha mama yetu.
Epuka kufanya generalizations za kitoto eti kabila zima. Mwangalie mtu kama mtu mwenye wasifu na mitazamo yake unique. Mf. Wasukuma tunakuwa generalized kuwa ni washamba. Wewe pia ni mshamba? Kama siyo mshamba why wakati nawe ni Msukuma?
Hahaha bhole eleke gete nkoiUlutunshomile lekaga gete omwise
Gatolage guke nkoiGenaya madamu sana ila ka nike kasoga noo
Bhebhe nkoi,tolaga lekanyaga iyaniyo yali ya kalee,tulaga mpaga yibhake moto.Salaam..

umetumwa?