youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Tena sana hadi urumaNgumu kumesa
Nimakosa ya uandishi ni300000Hapo ni makosa ya uandishi au ndio hivyo kuwa kima cha chini elfu thelathini tu!!?
Haukatwi ila responsibility kama ni 100000 inaondolewa yote na ela ya hizo siku ambazo ujainguaEt ukichelewa kazin unakatwa mshahara wa siku nzima
Na usipoenda kabisa inakuwaje?Et ukichelewa kazin unakatwa mshahara wa siku nzima
Lazima utakuwa hr,mahr wa kibongo ni mko hivyo ,adhabu ya kumkata MTU hela yote ya siku haiko Sawa ni onevu1) Kwanza tuna tabia ya kuchukia kila mwekezaji mgeni au mwekezaji asokuwa na asili ya ubantu. Hii ni tambia mbaya tumejijengea watanzania.
2) Tuna tabia ya kulalamika kila kitu hata kwa makosa yetu wenyewe.
3) Kama kiwango cha chini cha mshahara ni 300,000/- basi wamewafanyia safi sana kwani nakumbuka katika mipango ya mwisho ya srikali ya JK mishahara ya serikali kwa mfano Hakimu wa Wilaya analipwa 350,000/-
4) Ingawa kuna adhabu kali hazistahiki kufanyiwa wafanya kazi lakini na sisi ni wavivu wa kwenda kazini na kuwajibika kwa majukumu tunayopewa kazi kufikia malengo na kuathiri ufanisi wa kazi. So adhabu ya kukata mshahara ni funzo zuri sababu hapo ndipo panapoumiza. Kutamfanya mfanaya kazi awajibike.
Makosa ya mwajiriwa yako wapi hapo,,??? Hawa wamezoea kutunyonya sasa leo yupo kwenye kumi nane zawatu anatukandamiza but kwanini asinge wapunguza kabla ya shinikizo la ongezeko la mshahara??Mnajuwa kama nyinyi mna matatizo sana? Lazima muangalie pande zote waajiri wana makosa yao na waajiriwa wana makosa yao na kila mmoja anavutia kwake
Hiyo niujaenda kabisa ukichelewa tu hakuna cha onyo wala nini wanakulazimisha kurudi nyumbani, wakati inatakiwa utofauti wa adhabu kati ya aliyechelewa na ambaye hakufika kabisaNa usipoenda kabisa inakuwaje?
Hiyo ni kwaserekali, vipi kwa secta binafsi ????1) Kwanza tuna tabia ya kuchukia kila mwekezaji mgeni au mwekezaji asokuwa na asili ya ubantu. Hii ni tambia mbaya tumejijengea watanzania.
2) Tuna tabia ya kulalamika kila kitu hata kwa makosa yetu wenyewe.
3) Kama kiwango cha chini cha mshahara ni 300,000/- basi wamewafanyia safi sana kwani nakumbuka katika mipango ya mwisho ya srikali ya JK mishahara ya serikali kwa mfano Hakimu wa Wilaya analipwa 350,000/-
4) Ingawa kuna adhabu kali hazistahiki kufanyiwa wafanya kazi lakini na sisi ni wavivu wa kwenda kazini na kuwajibika kwa majukumu tunayopewa kazi kufikia malengo na kuathiri ufanisi wa kazi. So adhabu ya kukata mshahara ni funzo zuri sababu hapo ndipo panapoumiza. Kutamfanya mfanaya kazi awajibike.
Good pointOmbeni Mungu viwanda vitakavyo anzishwa viwe vya mwaafrika au.mzungu na wajapani.viwanda vya mchina au mhindi ni shida duniani pote vilipo haviishi kulalamikiwa sio China au India kwenyewe.India na China viwanda bora nivile vinaendeshwa na wabia kutoka america. Na ulaya .Sijui wanatabia gani wamerithi ya kunyanyasa watumishi wao.mfano angalia makampuni yao ujenzi hapa Tanzania migomo aishi.na hii tabia sio kwa Tanzania tuu wanafanya ni ataa huko China na India .buree kabisa .kama a to z nibahati mbaya Tanzania tumetelekeza kilimo ilikuwa amna aja kwa vijana kwenda teseka pale.wangekuwa wanalima kulimo cha kisasa na ufugaji.ingiwapelekea mafanikio makubwa.kuliko hiyo jela kiwanda kupotezea muda vijana kujiletea maendeleo makubwa .ukilinganisha na kulima eka moja ya nyanya kilimo cha kisasa umwagiliaji Mara 3 kwa Mwaka.tani 20 nyanya kilo 1500/= x 20000 kilos =milioni 30 .wapi na wapi na mshahara 170 000 x 12 = 2. 040.000/= Wa a to z .Wa Mwaka ???