hili jino linataka kunitia majaribuni

hili jino linataka kunitia majaribuni

Pole sana,jino linatesa sana hapo hakuna msaada zaid ya kwenda hosptal,tena nakushaur uende muhimbili.
Lakn cjaelewa yan haujaonana na shem kisa jino?au ksa sura imevimba?mmeanza kudate juz?

hapana nilikuwa katika hali ya maumivu ndo mana sikutoka naye nisingeweza kufurahia mtoko
 
Ukipata nafuu,tumia dfp dawa ya meno na mouth wash,huttasikia kwa bomba maumivu ya jino

zanishaha ahsante kwa ushauri lakini inakuwaje unanichafulia topic na habari za ccm
au una hamu ya kuvaa gwanda be open
 
Ungekuwa Mwanza ningekupatia dawa lakini kwa kuwa uko mbali nashindwa nikusaidieje. Tatizo uzungu mwingi tu; miti ipo hapo unapoishi lakini hujui hata majina yake. Watu wa Mungu mnaangamia kwa kukosa maarifa.

Binafsi nilipokutana na Mwanachama wa Anamed International - sipendi tena kujisumbua na hospital kwa masuala madogo kama ya malaria, jino, sijui kuvimba miguu n.k.

In short; pole sana.
 
Ukipata nafuu,tumia dfp dawa ya meno na mouth wash,huttasikia kwa bomba maumivu ya jino
the teh teh teeeeeeeeeeeh! Mwenzenu kuchindwa uhuchiano kati ya JM na kuumwa jino! Bhaa mwanakijiji bana wewe, njomba kuchensha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom