Mungu anusuru viumbe wake inauma na kusikitisha,Wanaume tunaojielewa kama wanaume wa shoka bado tupo, wachache tu wasio na msimamo wa kiume na wasiojielewa ndio wanaokengeuka[emoji848][emoji848][emoji848]
usijali wanaume tupoSijui tutaolewa na kina nani kwa mtindo huo[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona aibu mm utadhani mm ndo yeye, kweli Dunia inaenda kwao kusikojulikana.Linatoka asubuhi linaaga naenda kazini, kumbe ndo kazi hiyo.
Mi nadhani isingekua aibu sana kwa sababu mwanamke ni furaha ya mwanaume.Ah huko ndo starehe yao hao, mbona hiyo kawaida sana na hawaoni km kuna tatizo, ila angekuwepo mwanamke anafanya hayo ningeshangaa kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo jicho kama kwel ni lako!Ila inasikitisha sana kuona mtoto wa kiume yupo hivyo.
labda maigizoIla inasikitisha sana kuona mtoto wa kiume yupo hivyo.
fungua PMLabda
Sio nani? Umeona nimeweka "..."[emoji23][emoji23] hapana ila huyo sio yeye.