Hili janga linainyemelea jiji la dsm!

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
19,102
Points
2,000

mgen

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
19,102 2,000
Nimefikiria hatari ya Moto! Ikitokea magari yanaungua yakiwa kwenye msongamano!
Kuna kila sababu ya kuisukuma Serkali kuiondoa haraka, kero ya Msongamano wa magari hasa Asubuhi na jioni kwa kuanzisha haraka Usafiri wa Train. Hasa wakati wa asubuhi na jioni. Kutoka Pugu hadi Station, kutoka Ubungo hadi Station, Kutoka Mbagala hadi mjini, na Ferry boat kutoka Kunduchi hadi ferry, Itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza msongamano wa Magari, na kutuokoa na janga linalo tunyemelea! Tujifunze kutokana na Makosa, kabla hatuja unda Tume!
 

Forum statistics

Threads 1,379,865
Members 525,596
Posts 33,759,100
Top