Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,951
- 2,693
Habari za Jumapili zinaendaje wakuu, natumaini wengine mpo kanisani, basi Jana bwana Yas Tanzania walikuwa wanatimiza Mwaka mmoja Toka watambulishe jina jipya basi bwana wakawa wana zawadi zao kutoka kwao kuwapa sisi wateja wao.
Kuna challenge wakasema Kuna maswali ya kujibu kwa usahihi watu 15 watajinyakulia kila mtu sh laki Moja Moja, kucheki muda wanasema saa kumi kamili jioni.
Mwana nikajifua nikakariri menyu ya vifurushi kagua kila Kona na kusoma nenda adi kwenye app yao, nikasema Sasa nimekwiva nisubirie Pepa.
Ahh we Ngoma imekuja maswali sijui yametokea wapi? 😢yani kweli niweze kujua maduka yapo mangapi nchi nzima,😅 na pia minara ipo mingapi nchi nzima wanakupa majibu kama manne uchague Moja, nilichofanya nilikuwa nanyanyua juu kichwa harafu nachoma Hilo Hilo ndo jibu langu😅, hawakupi muda wa kwenda kugoogle ni hapo hapo umekaziwa hapatoki😔 ni speed na haraka
na unashangaa Kuna waja wamepasua kama kawaida laki Moja hiyoooo kinachoniuma sio maswali kinachoniuma nimekosa laki Moja hiyo dah! kama kupata nitakuwa nimepata maswali 3 kati ya sijui ni kumi Yale sikuhesabu,🖐️😞🚶nimeaga nimeenda