Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,561
- 16,339
Ni matumaini yangu kila mtu yuko bukheri wa afya, kama ni mgonjwa au jambo lolote linakusibu basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upate kabiliana na hiyo hali.
Straight to the topic, ebwana leo nimeenda bank (atm) kutoa fedha sasa nimefika pale ndani tayari kuna mtu nikaona nisubiri hadi amalize kilichompeleka nami niingie.
Aisee nimekaa nje kama dk 20 jamaa hatoki nikaona isiwe tabu ngoja nichungulie kama kuna ugumu anapata basi nimsaidie He! ile kucheki jamaa ameshika kikaratasi kirefu (nadhani aliandika passwords) na pale kwenye top ya atm kuna cards kama 15 hivi.
Basi nikajua huyu ni mwalimu ikabidi niwe mpole tuu. Jamani nyie walimu hii tabia haifai kabisa tunapotezeana muda bila sababu za msingi.