AHSANTE KWA KUNIELEWA MWAYA!Ila nimefikilia nimeona hakuna haja ya msamaha maana mtu kukupenda au kuto kukupenda ni chaguo la moyo wake sio makosa kwahiyo huyo mama hampendi mwanae
Hamna haja ya kuumia huwezi kulazimisha mtu akupende
Chakufanya ni kupotezea na kuendelea na maisha ya kawaida
Kitonga
KABISA!
MAMA NI MUNGU WA PILI!
UPENDO SIO PAI AISEE KUWA UPO TU!
ehehehhehehe hujanitamkia mimi hiyo kauli uakabaki una maana ile ile kwangu!
Waooo, A strong Strong Neno...Mama ni Mungu wa Pili katika dunia hii. Hakuna kitu kibaya kama kumchukia Mama. Unachopaswa kufahamu kuwa hakuna mwanadanu aliyekamilika. Hivyo uambie moyo wako kuwa huyu ni mama yangu na vyovyote itakavyokuwa atabaki kuwa mama yangu. The rest mwachie Mungu. Hata kama utaamua kumchukia haitasaidia. Nakusihi mlipe kwa wema hadi ajue kama wewe unampenda hata kama yeye hakupendi. Ukifanya hivyo Mungu ipo siku atakufanyia wepesi katika mambo yako na familia yako kwa ujumla.
Wahenga walisema: mpe mchawi akulelee mwanao...
Joseverest samahani kwa kuchukua kiti chako.
Bado sijajua ndo nataka nikae nae nisikie nini sababu ya maneno yale
Ahsante sanaMama yako kauzu pole mwaya
Shukrani ubarikiweWala usiende mbali, kama vile ambavyo Mungu amemuondoa aliyempenda ndivyo atakavyomuondoa hata yeye mapema kabla yako. Ila usimnenee mabaya. Lakini usikome ktk sala na maombi ukitamka yakuwa kimbilio lako li kwa Bwana Mungu wa majeshi.
Lkn tazama, kabla hajafa atakuomba radhi mara kadhaa huku akilia na kugalagala, nawe usisite kumsamehe maana visasi si vyako wewe bali Bwana Mungu wa Majeshi. Lishike sana neno hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuuPole sana mkuu, Mungu akutie nguvu upate kumsamehe mamaako. Naamini wewe ni muhimu sana kwake na kina siku atakuhitaji sana. Hivyo msamehe bure kwa kuheshimu kitendo cha kukuzaa .
Nashukuru sana kwa maneno yakoPole sana, Ila naamini Mungu anatujua zaidi tujijuavyo sisi. Yawezekana hata hicho kifo, Mungu ameruhusu kitokeea ili Kudhihirisha tabia ya huyo mama yako, juu yako. Mungu ametaka kumwonesha Mama yako kuwa nawe unastahili kupendwa na kuthaminiwa.
Pole sana ndugu yangu, msikilize huo msamaha wake Ila msamehe pale tu utakapokuwa tayari kumsamehe.
Kusamehe jambo hakulazimishwi, Bali hutokea pale tu Moyo unapokuwa tayari kufanya hivyo.
Hata sijui alikuwa anaweza nini huyo Mama yako. Wengine wanalilia kuwa na watoto wengine wanawabagua watoto wao waziwazi kha!!.
Pole sana.
Ongera sana kwa moyo wa kijasiriPole mkuu!,,, mi ilishantokea kutokupendwa na baba yangu, hadi siku naomba hela ya kulipia mtihani wa mwisho form four mzee alininyima si kwamba hana alikuwa nayo ila hakuniona km nastahili kupewa..aliniambia hivi
" WANGAPI WANAKULA NG'OMBE MZIMA WANASHINDWA MKIA? Shule ni kitu gani bhnaa rudi kaaa nyumbani" huwa siyasahau kabisa ila NILISAMEHE MNO nakuomba baraka zishuke juu yangu na uzao wangu hadi Leo Nina furaha teleeee!
Samehe Mara nyingi uwezavyo ili uishi miaka mingi duniani na upate heri uiachapo dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
One loveAhsante sana mkuu
Ndo hivyo mkuu dunia ina mambopole kwa maswahibu yaliyokufika mkuu....vumilia dunia ndivyo ilivyo...........