Hili jambo limenitisha sana

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,658
Kuhusu aptitude test ya TPA kwa watu wa ICT
Unaita watu>1000
Wanafanya pepa
Unawachagua waliopata 100-70
Cha ajabu walio pata 100-70 wanapatikana watu 46
Je mbona hali inatisha yani kati ya watu 1000 waliopata marks 100-70 ni 46
 
Hao mbona wengi sana mkuu. Hata wangekuwa 10 nisingeshangaa. Hiki ni kizazi cha ku-google, kila jambo gumu wanalokutana nalo anakimbilia simu! Kichwani sifuri.
 
Mbona kawaida tu hiyo,nakumbuka kuna taasisi nyingine pia iliwahi kufanya hivyo hao watu wa ICT walikuwa kama 500 hivi waliofikisha huo wastani walikuwa kama 100 tu hivi...

Tatizo ambalo naliona ni watu kwenda bila kujua aptitude test ni nini kwahiyo wanajikuta wamepigwa surprise wale ambao walijiandaa kweli kwa aptitude lazima watusue.
 
Kuhusu aptitude test ya TPA kwa watu wa ICT
Unaita watu>1000
Wanafanya pepa
Unawachagua waliopata 100-70
Cha ajabu walio pata 100-70 wanapatikana watu 46
Je mbona hali inatisha yani kati ya watu 1000 waliopata marks 100-70 ni 46

Sasa hapo umetishwa na nini?
 
Back
Top Bottom