Hili jambo la wazazi kukataa wapenzi wa mabinti zao!

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
1,881
2,000
Ikiwa waweza kuwa na mtazamo tofauti kwa mchumba au mke wa rafiki yako, sembuse kwa mtoto wako wa kuzaa?

Hivi Tabia ya zamani ni zipi? Mpya ni zipi? Za zamani zilitakiwa ziishe lini?
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
Ikiwa waweza kuwa na mtazamo tofauti kwa mchumba au mke wa rafiki yako, sembuse kwa mtoto wako wa kuzaa?

Hivi Tabia ya zamani ni zipi? Mpya ni zipi? Za zamani zilitakiwa ziishe lini?
MKuu wewe unaonekana kuwa na mfumo dume kabisa.
Hivi hujajua tu kwamba utu uzima unaanza na miaka 18? Mzazi anaweza kushauri na si kumkataza binti yake kuolewa. Hayo mambo ya kuchaguliana wachumba yamepitwa na wakati. Unamchagulia mwanao mchumba kwani ni wewe utakayelala naye?
 
tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
1,881
2,000
Mkuu ikiwa waweza ukawa na mtazamo hasi wa mahusiano ya rafiki au ndugu, sembuse mtoto wako? Tuache denials.
MKuu wewe unaonekana kuwa na mfumo dume kabisa.
Hivi hujajua tu kwamba utu uzima unaanza na miaka 18? Mzazi anaweza kushauri na si kumkataza binti yake kuolewa. Hayo mambo ya kuchaguliana wachumba yamepitwa na wakati. Unamchagulia mwanao mchumba kwani ni wewe utakayelala naye?
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
Mkuu ikiwa waweza ukawa na mtazamo hasi wa mahusiano ya rafiki au ndugu, sembuse mtoto wako? Tuache denials.
Kuna jambo dogo tunatofautiana. Wewe unadai kumchagulia mwanao mume ni sahihi, mimi nasema mzazi anapaswa kumshauri mwanaye aina ya mume atakayemfaa. Kama binti yangu kaniletea mchumba nikiona hana sifa za kuwa mume mwema nitamshauri kwa upendo na kumuacha yeye aamue maana yeye ndiye atakayejitwisha huo mzigo na kama akilazimisha mahari sichukui ile yakimshinda arudi nyumbani bila masharti.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom