Hili Hapa Kanisa Lingine la Uroda

Kwa hiyo hao waumini wanaokanyagwa ndo mapepo!Du!
Nope..Mapepo yamo ndani yao..Ndo yanakanyagwa..Hapo unaweza hata kupigwa ngumi ya uso ukaambiwa mapepo ndo yanapigwa
 
Nope..Mapepo yamo ndani yao..Ndo yanakanyagwa..Hapo unaweza hata kupigwa ngumi ya uso ukaambiwa mapepo ndo yanapigwa
Teh!Teh!Teh!Kama ni miye najifanya kupandisha pepo halafu namkata mitama ya kutosha kwamba pepo limekasirika na limegoma kutoka.
 
He he he...
mbona wao wenyewe wanaanza kwenda kinyume na biblia yao kuwakanyaga hivyo ndo kuwawekea mikono kichwani wapate kupona..?
kwa staili hii hospital ziongeze madaktari wa uti wa mgongo..
 
halafu ni kijana mdogo sana
 
He he he...
mbona wao wenyewe wanaanza kwenda kinyume na biblia yao kuwakanyaga hivyo ndo kuwawekea mikono kichwani wapate kupona..?
kwa staili hii hospital ziongeze madaktari wa uti wa mgongo..
dunia inakwenda ukingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…