hili gundu au?

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Hebu nisaidieni mwenzenu kila kampuni ninayofanya kazi lazima ife ni gundu au?,iNikiwa kijana wa miaka 18 enzi hizo niliajiriwa TANGANYIKA PACKERS muda sio mrefu ikafa,nikatafuta kazi kwa juhudi,nikaajiriwa kampuni ya simu ya TRITELnayo ikafa, nikapata ajira CITY WATER nlipofikisha mwezi1 nayo ikadedi,nikasaka ajira tena nikapata paleee G TV, nayo ikafagiliwa na mtiksiko wa uchumi nayo ikadedi ghafra ka michael jakson.UDA,ikawa hivohivo, nililia sanaa jamani.Lakini sasa ninafuraha sana kwani nimepata kazi Tanesko.
 
Hahahahahahahaaaa km uko tanesco bora uanze kutafuta kazi TTCL, Pia ni km nishakuona Atcl
atua amesahau tu ila alisha fanya ATCL akahamia TRL na sasa ndio yuko huko kwenye mabasi yaendayo kasi
 
ukiwa raisi inamaana tz itakufa!!hahahahaaaa!!!!
fanya hivo mkuu cjui tutaenda wapi??
 
Hebu nisaidieni mwenzenu kila kampuni ninayofanya kazi lazima ife ni gundu au?,iNikiwa kijana wa miaka 18 enzi hizo niliajiriwa TANGANYIKA PACKERS muda sio mrefu ikafa,nikatafuta kazi kwa juhudi,nikaajiriwa kampuni ya simu ya TRITELnayo ikafa, nikapata ajira CITY WATER nlipofikisha mwezi1 nayo ikadedi,nikasaka ajira tena nikapata paleee G TV, nayo ikafagiliwa na mtiksiko wa uchumi nayo ikadedi ghafra ka michael jakson.UDA,ikawa hivohivo, nililia sanaa jamani.Lakini sasa ninafuraha sana kwani nimepata kazi Tanesko.

nenda kwa walio taalamika, labda una mimba kwenye masaburi
 
pole sana,badili hilo jina la yahoo ndilo linalokutia gundu,tumia jina la kiswahili uone jinsi utakavyopeta. Nalog off
 
Nimekukumbuka uliwai atafanya kazi RETCO,UFI NA BUKOP.Sasa omba kazi CCM utusaidie na gundu lako teh.
 
Ha ha ha,soma alama za nyakat mapema,hyo ilisha mpata mshkj wng flan iv,ambaye ameshadanja long ka kampun alzokua anafnya job,so na ww jichk,na uanze ponda ...utadanja....
 
ewe mtukufu nakuomba uombe kazi ikulu pale kwa HB utuondolee huyu mtu mapema
 
naona hata mtandao wa yahoo nao unataka kufa kwa sababu siku hizi unasumbua sana kisa wewr kutumia ID yao.
 
hata jf itakufa, km vp sepa humu ndani hatukutaki. mi napendekeza ww panakufaa magogoni
 
kwani wewe una fani gani mbona mashirika tofauti na yanayodili na mambo tofauti?. Nahisi huwa unachangia kuyaua!!
 
Back
Top Bottom