Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,556
- 3,741
Gazeti moja la nchini Kenya linalojulikana kama The Star Kenya limemchora Rais Magufuli katuni na kumuita dikteta kupitia ukurasa wake wa facebook
Je huu si udhalilishaji wa wazi kwa Mheshimiwa Rais? Hakika Wakenya mtuombe radhi
Je huu si udhalilishaji wa wazi kwa Mheshimiwa Rais? Hakika Wakenya mtuombe radhi