Hili gari vipi?

Gari za kupigia misele tu hiyo. Haijakaa kikazi zaidi.
 
Na haya matuta yetu kama ya kupandia viazi vitamu itasalimika kweli??
 
Ukiiweka tinted kwenye windscreen utakuwa unakula za short time za kufa mtu
 
Waoooow hupati usumbufu aina yoyote kwa kuweka picha halisi

Never, sio job wala humu Jf am comfortable kwanza vile watu wanajua all are fake so its like a syndicate to presume the same to mine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…