M mama dunia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 420 Reaction score 84 Nov 19, 2013 #1 hi wanajamii, naomba wenye experience na gari hili wanipe data za kulihusu eg durability, maintanance, fuel consumption etc etc Asante Attachments BF167217_5.png 93.1 KB · Views: 169
hi wanajamii, naomba wenye experience na gari hili wanipe data za kulihusu eg durability, maintanance, fuel consumption etc etc Asante
M masagati JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 496 Reaction score 363 Nov 19, 2013 #2 hizo nyingi ni V8 or V6, kuhusu durability zina dumu na more comfortable spear zipo landlover
K Karim Member Joined Feb 3, 2008 Posts 14 Reaction score 3 Nov 19, 2013 #3 Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida !
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,366 Reaction score 3,561 Nov 19, 2013 #4 Karim said: Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida ! Click to expand... mimi naahidi kulinunuua atakapolichoka
Karim said: Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida ! Click to expand... mimi naahidi kulinunuua atakapolichoka
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Nov 19, 2013 #5 Karim said: Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida ! Click to expand... Vitu vyote unavyonunua huwa unauza? Acha mawazo ya kizamani
Karim said: Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida ! Click to expand... Vitu vyote unavyonunua huwa unauza? Acha mawazo ya kizamani
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Nov 19, 2013 #6 v8 na v6 maana ake nini?
M mama dunia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 420 Reaction score 84 Nov 20, 2013 Thread starter #7 masagati said: hizo nyingi ni V8 or V6, kuhusu durability zina dumu na more comfortable spear zipo landlover Click to expand... Asante masagati
masagati said: hizo nyingi ni V8 or V6, kuhusu durability zina dumu na more comfortable spear zipo landlover Click to expand... Asante masagati
M mama dunia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 420 Reaction score 84 Nov 20, 2013 Thread starter #8 Karim said: Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida ! Click to expand... Kwanini? ina maana watu hawayapendi au yanasumbua sana au?
Karim said: Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida ! Click to expand... Kwanini? ina maana watu hawayapendi au yanasumbua sana au?
M mama dunia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 420 Reaction score 84 Nov 20, 2013 Thread starter #9 Tripo9 said: mimi naahidi kulinunuua atakapolichoka Click to expand... hahahaha
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Nov 20, 2013 #10 Tripo9 said: mimi naahidi kulinunuua atakapolichoka Click to expand... Duh. una roho nguumuuuu. Kila la kheri
Tripo9 said: mimi naahidi kulinunuua atakapolichoka Click to expand... Duh. una roho nguumuuuu. Kila la kheri
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Nov 20, 2013 #11 Karim said: Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida ! Click to expand... Sasa kwa nini alinunue halafu aliuze? Doesn't make sense to me!
Karim said: Hiyo ni ndoa ya kikristu mkuu ! Mpaka life au ufe wewe ndio mwisho wake ! Ukiwa nalo kuliuza shida ! Click to expand... Sasa kwa nini alinunue halafu aliuze? Doesn't make sense to me!