HahahahaInahitajika miaka 14 kibangua korosho,kumbe ni kwasababu vijana mpo bara mnalewa. nendeni mtwara huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mdau
Karibu kwenye uzi wetu wa wanywaji na walevi humu kuna walokole nakukaribisha nikiwa kama katibu natuma copy pia kwa mwenyekiti..@mshana jrAsante M7 hii kitu kama safari lager
Kama niko corner bar kumbe Mbarara city
View attachment 981204
Sent using Jamii Forums mobile app