Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 364
- 730
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu anafungika tu mbona labda hujamuamuliaMkuu nimecheza ila.kuna level nimekutana na Jenifer oya huyu hafungiki
Hapana mkuu anafungika tu mbona labda hujamuamuliaMkuu nimecheza ila.kuna level nimekutana na Jenifer oya huyu hafungiki
Mrejesho baada yaSalam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore.
Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa nimelifungua lakin kuna Mambo siyaelewi
Kwanza huyu sijui ndo dalmax anajifikiria sana yaani anachelewa kusukuma kete
Pili hili draft sio Kama haya tulioyazea haliruhusu king kuruka
Hata ladha ya kucheza draft imepotea
Hebu wakuu naombeni mnielekeze draft ambalo halina longolongo make hili la dalmax silielewi
Natanguliza shukrani
NB: Tusameheane sio mzuri sana kwenye uandishi
Mrejesho baada ya maoni ya wadau hatimae limekubali kwenye Tanzania rule Ila nilichogundua huyu jamaa ili umfunge Basi unaotakiwa utulize akili na uwe umekula umeshiba maana mmmhhh ngoja tu nikausheSalam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore.
Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa nimelifungua lakin kuna Mambo siyaelewi
Kwanza huyu sijui ndo dalmax anajifikiria sana yaani anachelewa kusukuma kete
Pili hili draft sio Kama haya tulioyazea haliruhusu king kuruka
Hata ladha ya kucheza draft imepotea
Hebu wakuu naombeni mnielekeze draft ambalo halina longolongo make hili la dalmax silielewi
Natanguliza shukrani
NB: Tusameheane sio mzuri sana kwenye uandishi
HahahaPili hili draft sio Kama haya tulioyazea haliruhusu king kuruka
Umefanikiwa au bado anakupa shida?Mrejesho baada ya
Mrejesho baada ya maoni ya wadau hatimae limekubali kwenye Tanzania rule Ila nilichogundua huyu jamaa ili umfunge Basi unaotakiwa utulize akili na uwe umekula umeshiba maana mmmhhh ngoja tu nikaushe
Nimefanikiwa mkuu lakini Sasa kila kete nayogusa ni ya Moto vichapo kwa kwenda mbele kwenye game kumi nimetoa droo moja sio poaUmefanikiwa au bado anakupa shida?
Hujamvua ubingwa bado?Nimefanikiwa mkuu lakini Sasa kila kete nayogusa ni ya Moto vichapo kwa kwenda mbele kwenye game kumi nimetoa droo moja sio poa
Weka Russian rulesShukran mkuu vp Lina ruhusu nakula mbele na nyuma?
Huyu jamaa ni Kama anakuwa anakuona ukicheza maana mitego yote anairukaHujamvua ubingwa bado?
Shukran mkuuWeka Russian rules
😂😂😂 mi ni mkali wa hilo dude. Nilikokulia nimelicheza sana.Unachezaga na draft kwani we ni mzanzibar
ChaiNenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk
Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzanian????