Hili draft mbona silielewi

Hili draft mbona silielewi

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
364
Reaction score
728
Salam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore.

Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa nimelifungua lakin kuna Mambo siyaelewi

Kwanza huyu sijui ndo dalmax anajifikiria sana yaani anachelewa kusukuma kete
Pili hili draft sio Kama haya tulioyazea haliruhusu king kuruka

Hata ladha ya kucheza draft imepotea

Hebu wakuu naombeni mnielekeze draft ambalo halina longolongo make hili la dalmax silielewi

Natanguliza shukrani

NB: Tusameheane sio mzuri sana kwenye uandishi
 
Nenda Kwenye game variant uchague Tanzania rules.
 
Ni kitambo Sana nililicheza.
Kwa matatiso yako..
Tafuta sehemu ya rules, ukiona za Tanzania bofyq hapo.
Kisha kwenye muda wa kufikiri punguza miaka sekende 3 sijui zile.

Itakuwa poa
 
Nenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk

Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzania

Nilikua natumia checkers, liko poa, rules unaziweka mwenyewe.
Hizo chekers nishachukua za kutosha, tatizo ni nyepesi mno. Hazina ule ushindani unaotakiwa
 
Daah mkuu umenichekesha sana Ila m
Nenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk

Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzanian????
bona Kama hili la kwangu halina hizo option ulizoongelea hapo
 
Daah mkuu umenichekesha sana Ila m
Nenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk

Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzanian????
B
Wakuu hilo ni game app au mnachezea mtandaoni
Game app mkuu
 
Acha kulalamika wakati hujaweka setting vzuri,hili game ni zuri sema tu changamoto yake dalmax anaruhusiwa yeye tu kucheza faulo Ili akufunge mambo yanapokua magumu kwake😀😀
 
jaribu kucheza chess
nimekwama kwenye stage ya Expert

Na ni phase 8 hiyo na zipo mpaka phase 20 , mdogo mdogo nitafika tu

Bahati mbaya kitaa wengi ni wacheza draft ,draft ni cha mtoto sana Kwa chess ,siku ukijua kucheza chess utaona tofauti kubwa ya kiufundi wa uchezaji ,chess ni akili mingi sana inatakiwa.
 
IMG-20250805-WA0009.jpg

Click hizo sehemu
 
Salam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore.

Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa nimelifungua lakin kuna Mambo siyaelewi

Kwanza huyu sijui ndo dalmax anajifikiria sana yaani anachelewa kusukuma kete
Pili hili draft sio Kama haya tulioyazea haliruhusu king kuruka

Hata ladha ya kucheza draft imepotea

Hebu wakuu naombeni mnielekeze draft ambalo halina longolongo make hili la dalmax silielewi

Natanguliza shukrani

NB: Tusameheane sio mzuri sana kwenye uandishi
Quick checkers ipo playstore
 
Back
Top Bottom