Hiki sio Kitambi ni Jitambi!



kibo umempata wapi picha ya huyu mpenzi wangu? ninakushitakia kwa Mkuu Moderator umeniadhirisha mpenzi wangu Kibo10 Huyu siku akikwambia nyumbani hutoki basi hutoki kweli maana atakulalia na tumbo lake hutaweza kupumuwa aahhh sio kitambi huu ni ugonjwa Dawa yake ninayo mimi. Angalia jinsi anavyoharibu hiyo Laptop yake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…