Hiki pia ni chanzo cha ajali, angalia huyo dereva wa pikipiki

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
9a64c17e0d0fcc0d13750af67c0198a5.jpg
 
Mpaka dereva wa bada bada bado kageuza kichwa...

Hata mimi ndiyo hadha nayopataga nikiwa na mahondaw watu hawaishi kugeuza geuza macho kumuangalia jinsi Mungu alivyo fundi... alafu mahondaw hana habari ndiyo kwanza ananidekea, mara anikumbatie...


cc: mahondaw

Yeah Unanijali unanipenda na kunidekeza pia
Nami nimekushika haswaaaaaa nakupenda sana my Smart911 dereva wangu
 
Back
Top Bottom