duuuh kwa hyo ulivyokufa ukazaliwa tena sehem ile ile na mama yule yuleInawezekana ulishawahi kuishi miaka ya nyuma halafu ukafa so kilichotokea hapo ni ulirudi maisha yako ya zamani kwa muda na watu hao ambao ulikua unawajua zamani ila sahivi huwezi kuwatambua.
Mimi nakumbuka nilivyozaliwa tena nilipata tabu kwa sababu nlikua nikiona watu nliokua nao vijana maisha yangu ya awali nikikutana nao sahivi wanakua wamezeeka ila mimi naweza kuwatambua lakini wao hawakuweza kunikumbuka kwahiyo watu wakawa wananishangaa sana sema kwa sasa hali hiyo imepungua
Ukijibiwa na mimi unitag mkuuduuuh kwa hyo ulivyokufa ukazaliwa tena sehem ile ile na mama yule yule
tunasubir mkuu naona kaenda kutafuta jibuUkijibiwa na mimi unitag mkuu
Swali zuri sana
Inawezekana ulishawahi kuishi miaka ya nyuma halafu ukafa so kilichotokea hapo ni ulirudi maisha yako ya zamani kwa muda na watu hao ambao ulikua unawajua zamani ila sahivi huwezi kuwatambua.
Mimi nakumbuka nilivyozaliwa tena nilipata tabu kwa sababu nlikua nikiona watu nliokua nao vijana maisha yangu ya awali nikikutana nao sahivi wanakua wamezeeka ila mimi naweza kuwatambua lakini wao hawakuweza kunikumbuka kwahiyo watu wakawa wananishangaa sana sema kwa sasa hali hiyo imepungua
[emoji23] [emoji23]Hapana. Ila ni hapa hapa tz. Ila hakuna anaye jua historia yangu
Hii pia inwatokeaga wale pylsychopathsHiyo ni hali inayosababishwa na kukatika kwa kumbukumbu za ubongo kwa mda Fulani ambapo, akili inakuwa plain na huwa na uwezo wa kufanya external imaginations za maisha au uzoefu tofauti na mhusika ( wewe).
Hiyo huwapata watu wachache sana hasa wale wenye uwezo mkubwa wa kuhisi mambo, hii huufanya ubongo ujirefresh kabla ya kurejea kwenye hali yake.
Nikiwaambia watu mtaani wataniogopa sana[emoji23] [emoji23]
Kwahiyo hii siri umetumegea member wa JF pekee!
Itakua juhudi za mheshimiwa raisi ndio zimesababisha tupate hii siri nzito