Hiki ni nini

BIBOR

New Member
May 17, 2018
2
0
katika kutembea njiani mara kumbukumbu zikapotea nikahisi kama sio mimi huyu, kama vile nimekuwa mtu mwingine na kumbukumbu zikanitoa kwenye uhalisia kuwa nimekua mtu mwingine na niliwaza mambo mengine na kuwakumbuka watu ambao nilikuwa siwajui hapo kabla, nikasimama kwa kustaajabu,
baada ya muda kidogo zikarudi kumbukumbu za awali za mimi ambaye ninaandika sasa huu uzi ambaye ndio mimi halisi.

nimestaajabu sana wakuu.
naombeni mnisaidie hii kitu ina maana gani?
pia nataka kujua kama kumpukumbu zile ni za kwangu mimi au zilikuwa za mtu mwingine.
Wadau hii kitu imenitokea kweli.
 
Inawezekana ulishawahi kuishi miaka ya nyuma halafu ukafa so kilichotokea hapo ni ulirudi maisha yako ya zamani kwa muda na watu hao ambao ulikua unawajua zamani ila sahivi huwezi kuwatambua.

Mimi nakumbuka nilivyozaliwa tena nilipata tabu kwa sababu nlikua nikiona watu nliokua nao vijana maisha yangu ya awali nikikutana nao sahivi wanakua wamezeeka ila mimi naweza kuwatambua lakini wao hawakuweza kunikumbuka kwahiyo watu wakawa wananishangaa sana sema kwa sasa hali hiyo imepungua
 
duuuh kwa hyo ulivyokufa ukazaliwa tena sehem ile ile na mama yule yule
 
Hapana. Ila ni hapa hapa tz. Ila hakuna anaye jua historia yangu
 
Itakua ulirudi enzi za mzee wa ruksa au jakaya..

Jaribu kuisahau hyo ndoto tu mkuu kwa jiwe huchomoki!
 
Inawezekana ulishawahi kuishi miaka ya nyuma halafu ukafa so kilichotokea hapo ni ulirudi maisha yako ya zamani kwa muda na watu hao ambao ulikua unawajua zamani ila sahivi huwezi kuwatambua.

Mimi nakumbuka nilivyozaliwa tena nilipata tabu kwa sababu nlikua nikiona watu nliokua nao vijana maisha yangu ya awali nikikutana nao sahivi wanakua wamezeeka ila mimi naweza kuwatambua lakini wao hawakuweza kunikumbuka kwahiyo watu wakawa wananishangaa sana sema kwa sasa hali hiyo imepungua
Hapana. Ila ni hapa hapa tz. Ila hakuna anaye jua historia yangu

Kwahiyo hii siri umetumegea member wa JF pekee!

Itakua juhudi za mheshimiwa raisi ndio zimesababisha tupate hii siri nzito
 
Hiyo ni hali inayosababishwa na kukatika kwa kumbukumbu za ubongo kwa mda Fulani ambapo, akili inakuwa plain na huwa na uwezo wa kufanya external imaginations za maisha au uzoefu tofauti na mhusika ( wewe).

Hiyo huwapata watu wachache sana hasa wale wenye uwezo mkubwa wa kuhisi mambo, hii huufanya ubongo ujirefresh kabla ya kurejea kwenye hali yake.
 
Hii pia inwatokeaga wale pylsychopaths
 
Back
Top Bottom