Hiki ni kitu gani jamani?

Hiki ni kitu gani jamani?

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
2,249
Reaction score
833
Sikuwepo nyumbani tangu Jan 2012, niliporudi nyumbani recently nikakuta kitu hiki kwenye dressing table ya mke wangu! Sijawahi kukiona na sikijui.

GetAttachment.aspx
 

Attachments

  • Pic.jpg
    Pic.jpg
    70.8 KB · Views: 1,750
kwani wewe unadhani ni nini ..?? kwanini usimuulize mwenyewe mpaka utuulize sisi.?? Miaka yote wewe ulikuwa unategemea nini..??

BTW hata mimi sijui ni nini
 
Jazia nyama habari ueleweke vizuri basi..
 
Nafikiri mkeo atakuwa na majibu mazuri zaidi ya hapa....
 
Mafuta ya kujipaka, manzuri sana hata wewe unaweza kujipaka yanalainisha ngozi. :hurt:
 
Hahah kuna watu waongo sana...

Picha ya mkeo imefuata nini kutoka mailbox ya outlook?

Siku nyingine jipange source ya picha inaonekana umeitoa kwenye mailbox ya outlook probably kazini kwenu huko...
 
Hahah kuna watu waongo sana...

Picha ya mkeo imefuata nini kutoka mailbox ya outlook?

Siku nyingine jipange source ya picha inaonekana umeitoa kwenye mailbox ya outlook probably kazini kwenu huko...

dahh
huyu mwanaume muongo ndo maana mimi sikubali habari nuinhi humu ndani

by the way kwani hilo nini?
 
Ina maana tangu 2012 kitu kipya ulichokikuta ni hayo mafuta tu?
 
Kama na wewe unataka nijulishe; inaweza kukusaidia hata wewe.
 
Back
Top Bottom