Hiki ni kinywaji gani?

Hicho kinywaji kiwanda chake kipo kahama, ni copy ya zile 'akayabagu' za bujumbura. Kuna moja ya congo inaitwa `ASILI TANGAUSI' ee bwn ni balaa sana hiyo kitu
 
Hicho kinywaji kiwanda chake kipo kahama, ni copy ya zile 'akayabagu' za bujumbura. Kuna moja ya congo inaitwa `ASILI TANGAUSI' ee bwn ni balaa sana hiyo kitu
Mkuu inaonekana unaijua vizur, balaa kiaje
 
Daah mtakunywa vitu vya ajabu sana kwenye ligi zenu za ndondo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…