SijanywaNgoja kwanza, umeshakunywa au unauliza kwanza?
Okay.Sijanywa
Kiaje?Okay.
Mimi sina utaalamu sana ila kwa kutumia simple logic ya hilo neno Fantasy, hicho kinywaji kitakuwa kinahusika na kuongeza nguvu za kiume.
Si nimeshasema hapo jamani?Kiaje?
Vijana wanataka kuokoa jahazi in a very maneurvered means.Okay.
Mimi sina utaalamu sana ila kwa kutumia simple logic ya hilo neno Fantasy, hicho kinywaji kitakuwa kinahusika na kuongeza nguvu za kiume.

Mkongo uliochangamkaWakuu Najua humu ni zaidi ya Google,hiki kinywaji nimekutananacho sehem nikashindwa kujua,karibuni kwa msaada pleaseView attachment 2842599
Itakuwa ni mundende hiyoWakuu Najua humu ni zaidi ya Google,hiki kinywaji nimekutananacho sehem nikashindwa kujua,karibuni kwa msaada pleaseView attachment 2842599
Mkuu inaonekana unaijua vizur, balaa kiajeHicho kinywaji kiwanda chake kipo kahama, ni copy ya zile 'akayabagu' za bujumbura. Kuna moja ya congo inaitwa `ASILI TANGAUSI' ee bwn ni balaa sana hiyo kitu