Hiki ni chumba cha kuhifadhia hela

Hivi hela ni mpango wa mungu au mwanadamu tu ndo alibuni,,,?
 
Daahhh halafu anavaa gloves hii si dharau jamani wakati huku ni kuzibusu na kuzikumbatia walaah huku kiroho kinakudunda kiwoga woga
Umenifanya nicheke! [emoji2]
Kuna dada nimuona anapokea pesa bank, akazibusu, Kisha akaongea kilugha, nahisi Ni mchaga, hata kimuonekano, nilicheka Sana bank!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…