Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
Population hiyo ni ya watu wangapi?Hiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa imejengwa kuliko visiwa vyote duniani
Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi wa samaki.
Kinapatikana ndani ya ziwa Victoria ambapo kiliwahi kugombaniwa na nchi mbili Kenya na Uganda
Kwa sasa kinamilikiwa na izo nchi mbili
View attachment 1960040
Wakati wa mgogoro, ksiwa kilikadiriwa kuwa wakazi wapatao 250 ambao wengi wao walikua ni wavuvi, wafanya biashara wa samaki ambao wengi wao walikua wateja wakubwa wa vilabu vya pombe, madnguro na maduka wa madawa za binadam kisiwani humo.Kuna nyumba ngapi hapo?
Wadau atakeyeweza kuhesabu
Hiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa imejengwa kuliko visiwa vyote duniani
Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi wa samaki.
Kinapatikana ndani ya ziwa Victoria ambapo kiliwahi kugombaniwa na nchi mbili Kenya na Uganda
Kwa sasa kinamilikiwa na izo nchi mbili
View attachment 1960040
Anaweza kuwa hajakosea. Kisiwa kuwa nchi moja na maji yanayozunguka kuwa ya nchi nyingine. Kwa ushahidi ni kwamba ukiqngalia Ziwa Nyasa. Upande wa Mozambique kuna visiwa viwlili ambavyo ni mali ya Malawi. Kwamba ndani ya .aji ya Ziwa Nyasa uoande wa Mozambique kuna visiwa vya Malawi ambavyo vimezungukwa na maji ya Mozambique kwa 100%Nakumbuka mwaka 2009 July, Rais wa Uganda aliwahi kutamka kwamba....
Kisiwa cha Migingo kilikuwa kweli kiko Kenya, lakini maji yaliyozunguka kisiwa yalikuwa ya Uganda...[emoji12][emoji851]
Na kuanzia sikuhiyo nilijiridhisha rasmi kwamba M7 anatumia [emoji263]
Densely hata kama imekwisha kwa watu 4 tu ni populatedPopulation hiyo ni ya watu wangapi?
Mkuuu nimecheka kwa sauti,hahaaaaNakumbuka mwaka 2009 July, Rais wa Uganda aliwahi kutamka kwamba....
Kisiwa cha Migingo kilikuwa kweli kiko Kenya, lakini maji yaliyozunguka kisiwa yalikuwa ya Uganda...😜🤓
Na kuanzia sikuhiyo nilijiridhisha rasmi kwamba M7 anatumia 🌿
Hahahahaha......alisema maji ni ya Uganda lakini mawe/rocks Ni ya Kenya. Kesi ikaishia pale.Nakumbuka mwaka 2009 July, Rais wa Uganda aliwahi kutamka kwamba....
Kisiwa cha Migingo kilikuwa kweli kiko Kenya, lakini maji yaliyozunguka kisiwa yalikuwa ya Uganda...😜🤓
Na kuanzia sikuhiyo nilijiridhisha rasmi kwamba M7 anatumia 🌿
Tafsiri wewe uweke linkMbona unatafsiri makala za YouTube na kurusha huku?
Si ungeweka na link kabisa
Taratibu za Uhamiaji zipoje kisiwani hapo?Hiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa imejengwa kuliko visiwa vyote duniani
Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi wa samaki.
Kinapatikana ndani ya ziwa Victoria ambapo kiliwahi kugombaniwa na nchi mbili Kenya na Uganda
Kwa sasa kinamilikiwa na izo nchi mbili
View attachment 1960040
[emoji34][emoji34][emoji35][emoji30][emoji125][emoji125]Taratibu za Uhamiaji zipoje kisiwani hapo?
Panafaa kufanya utalii, kujionea maraya wanavyopiga show.
Tz tupo tupo tuHiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa imejengwa kuliko visiwa vyote duniani
Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi wa samaki.
Kinapatikana ndani ya ziwa Victoria ambapo kiliwahi kugombaniwa na nchi mbili Kenya na Uganda
Kwa sasa kinamilikiwa na izo nchi mbili
View attachment 1960040
Density population hawaangalii hivyo.Population hiyo ni ya watu wangapi?
Nishafika sana nukiwa afis uvuviHiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,