Wewe umeona damu ya wapalestina ya ndugu zako watanzania wenzio wanao pigwa risasi na polisi wanao okotwa ufukweni hujaona!! Na wala hujafungua mdomo kulalamika!! Dunia inakaa kimiya ila ya palestina imekuuma!!! Africa africa nani kakuloga!!!!Damu ya wapalestina inamwagika kama maji dunia imekaa kimya