MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
Raia 2 wa Palestina wameuawa na vyombo vya ulinzi vya Israel katika maandamano ya kupinga Marekani kufungua ubalozi wake katika mji wa Jerusalem. Ubalozi huo unafunguliwa rasmi leo, hafla hiyo imehudhuriwa na maafisa wa Serikali ya Marekani akiwemo mtoto wa Trump, Ivanka.