Hiki ndio kipindi cha Kupendwa

Hiki ndio kipindi cha Kupendwa

Dotto Mnzava

R I P
Joined
Mar 6, 2014
Posts
864
Reaction score
427
Kipindi cha kupendwa kwa makundi kama haya ndio hiki....wakikukuta popote hawa watu kama anavyoonekana Mwigulu Nchemba, hata kama una ukoma, upele, ukurutu, ktokwa na harufu mbaya mwilini (Isiyo ya kawaida) bado watakufanya rafiki yao mpendwa...ingekuwa hivi kwa wakati wote bac.

attachment.php
 

Attachments

  • Mwigulu.jpg
    Mwigulu.jpg
    24.5 KB · Views: 941
Hahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaahahhahahahahahahahaaaa ....... Jamaa hawafahamu magamba nini?
 
Back
Top Bottom