Hiki ndicho mwanaume anapenda


1-5 NGUMU,6 rahisi kama mwanaume atakuwa si mgomvi na msababisha ugomvi, 7 sielewi unamaanisha nini na 8 inaweza kuwa rahisi sana ila consequences zake ni mbaya kwa mwanaume.
 
hapo kwenye red, na akirudi nyumbani awe ameshiba huko huko
 
Kweli haya ni mambo ya kufanyiwa mwanaume ila sio "mme"
 

Ungeainisha vizuri kama mke wa ndoa ama wa kupeleka siku ziende?
 
ss hiyo itakuwa ndoaaaaaaa au jela?

ukitaka mwanamke wa hivo ni wa enzi zileeeeee za mababu....ss ivi tumesoma huwezi kutudanganyia pipi
 

Imekaa hivi,
1- ulishasikiaga kisa cha mpemba? Inaonekana utakuwa na ham ya kutunziwa.
2-nayeye akihitaji awe na pa kupoozea sabab no way atakuwa atafurahia game la hitaji ya upande mmoja.
3,4,5-hiyo huwezekana vizuri sana kwa aliyekuchoka(she) so watch.out
6- nakubaliana nawe
8-wivu ni chachandu ya mapenzi, no wivu no love, ila kwa kipimo. Always too much is harmful.

Nawakilisha......
 
Mkuu asiombe pesa wakati muhusika hutoi, nani atamtunza sasa maana mwanamke matunzo

sio pesa za chakula na matunzo sababu hilo ni jukumu lako ila ni zile pesa ambazo hazina sababu wala maelezo ya kutosha mfano laki moja ya saluni elfu 20000 ya vocha na nk
 

Kwa sababu ni rahisi sana kuyaandika haya kwenye kompyuta ndiyo maana unashindwa kuuona ugumu wake? Frying Pan yenye mafuta yaliyochemka well above 120 degree Celcius, ulishawahi kuushuhudia mziki wake ikifanya kazi kwa mwanamme anayependa kurahisisha mambo kama wewe? Hawa watu inabidi uwaheshimu maana huwa wakiamua kushuka, wanashuka kweli hakuna mchezo!
 
Mwanamume au wewe?mie wangu anataka kinyume na hayo yooote uloorodhesha hapo!
 
Niulize kwani mwanamke ndo anafanye mwanaume maisha yake yawe magumu?
 
Yafuatayo ni mambo wanaume anapenda kutendewa na m2 wake.
[color='red'1.mwanamke asiombe pesa.[/color]
8.mwanamke asiwe na wivu.sasa wanawake kipi kigumu apo timizeni haya basi tuishi kwa amani majumbani
Kama mumeo hapendi umwombe pesa, naomba ni-pm please. Nataka mwanamke anaehitaji pesa toka kwangu ili anionee wivu atakapohisi kama nina issue na mwanamke mwingine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…