Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
πππ...Ila acheni Mungu aitwe Mungu, na Fikra za Mungu sio wanadamu, Wengi wenye vyeti kama hicho wameajiriwa na darasa la saba!
'A' za siku hizi ni tofauti sana na enzi zetu, unakuta nchi nzima A ya Kiswahili hakuna! Siku hizi kila mtu ana A ya Kiswahili!!!Kizuri unaweza ukawa na cheti hiko ukawa kilaza kiuongozi... wangapi mawaziri n maprofesa lakini hata kuamua jambo dogo hawewezi, mtaani shida lukuki
Ha ha ha tena sasa siku hizi afadhali.. ukute mtu ana 'A' ya Shukuru kawambwa ni hatari tupu'A' za siku hizi ni tofauti sana na enzi zetu, unakuta nchi nzima A ya Kiswahili hakuna! Siku hizi kila mtu ana A ya Kiswahili!!!
Watoto wa siku hizi wana akil na wanamuamko na elimu tofaut na zaman , mtu anakunywa ulanzi ndo anaingia darasan .A lazima ziwe chache'A' za siku hizi ni tofauti sana na enzi zetu, unakuta nchi nzima A ya Kiswahili hakuna! Siku hizi kila mtu ana A ya Kiswahili!!!