Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Sasa unaandika hapa ili iwe nini? Kama ulisagana si ulisagana ama umeona sifa hiyo? Endelea kusagana tu sasa unaandika humu ili iweje? Yahani ukitaka kunaniliwa we nenda facebook to humalizi hata siku 2.
 
Na jee unapofanya zinaa na huyo kakake huwa dhambi haihusiki?

it feels low
unajua fisadi na jambazi ni wadhambi tena fisadi anaweza kusababisha vifo vya wengi zaidi think of anafisadi mradi wa ARVs ila mwisho wa siku jambazi ndiye anaonekana mdhambi zaidi
 
sio shemeji yangu ni wifi yangu

Uko serious?Am I READING U CORRECTLY?
Mbona unamdhalilisha huyo bwana wako?
UKAONA U CHEAT NA DADA MTU? Wallah....
ingekuwa ndio miye huyo BF wako ningekufanyia
kitu mbaya sana aisee.
 
Uwiii Marttina, ndiyo umefikia huko???
Nasikia hiyo dhambi ya kusagana ukianza huiachi? Na ukishaizoea haijifichi tena, utakuwa unatamani wanawake wenzio!! Sababu ni huo ukame??? Kama ni huo ukame, ulivyomruhusu akutomase ulitegemea nini wakati unaukame, hukujua feelings zitapanda?? Binafsi sijaelewa vizuri jinsi mlivyofanya hilo tendo mpaka mkaridhishana, mlitumia vifaa bandia au mliridhishanaje? Jambo hilo linahatarisha uchumba wenu, hujui kuwa mawifi ni vigeugeu, akikugeuka akakuchongea kwa kaka yake au mawifi zako wengine kuwa amekumega? Ingawa sijui nani alikuwa 'she' na nani alikuwa 'he'

Pamoja na yote hayo ya Usodoma, Mungu anasamehe. Ingia kwenye toba ya kumaanisha na usirudie tena. Mpigie wifi yako, mwambie ukweli kuwa nilifanya yale bila kukusudia, labda kwa sababu ya pombe za harusi. Najutia kile kitendo, nimefanya toba kwa Mungu nawe nakuomba msamaha kwani ningekataa yasingetokea. Usiandike simu msg tafadhali maana inaweza kuwa ushahidi wa yeye kukuharibia kwa kaka yake. Au baada ya hapo mmeshatumiana msg za mapenzi???
 
Sasa unaandika hapa ili iwe nini? Kama ulisagana si ulisagana ama umeona sifa hiyo? Endelea kusagana tu sasa unaandika humu ili iweje? Yahani ukitaka kunaniliwa we nenda facebook to humalizi hata siku 2.

naandika hapa ni ili nijisikie nafuu flani kwani naiwaza sana hii dhambi.
ni kawaida yangu kupata nafuu kila napousema ukweli iwe kwa anijuaye au asiyenijua
 
Uko serious?Am I READING U CORRECTLY?
Mbona unamdhalilisha huyo bwana wako?
UKAONA U CHEAT NA DADA MTU? Wallah....
ingekuwa ndio miye huyo BF wako ningekufanyia
kitu mbaya sana aisee.

jaman
kwenye sredi nimeeleza nani aliyeanza ni kivipi nilifanya kosa la to imitate.Kosa ni imitation za kuwa nipo na BF kumbe dada mtu
 
Uwiii Marttina, ndiyo umefikia huko???
Nasikia hiyo dhambi ya kusagana ukianza huiachi? Na ukishaizoea haijifichi tena, utakuwa unatamani wanawake wenzio!! Sababu ni huo ukame??? Kama ni huo ukame, ulivyomruhusu akutomase ulitegemea nini wakati unaukame, hukujua feelings zitapanda?? Binafsi sijaelewa vizuri jinsi mlivyofanya hilo tendo mpaka mkaridhishana, mlitumia vifaa bandia au mliridhishanaje? Jambo hilo linahatarisha uchumba wenu, hujui kuwa mawifi ni vigeugeu, akikugeuka akakuchongea kwa kaka yake au mawifi zako wengine kuwa amekumega? Ingawa sijui nani alikuwa 'she' na nani alikuwa 'he'

Pamoja na yote hayo ya Usodoma, Mungu anasamehe. Ingia kwenye toba ya kumaanisha na usirudie tena. Mpigie wifi yako, mwambie ukweli kuwa nilifanya yale bila kukusudia, labda kwa sababu ya pombe za harusi. Najutia kile kitendo, nimefanya toba kwa Mungu nawe nakuomba msamaha kwani ningekataa yasingetokea. Usiandike simu msg tafadhali maana inaweza kuwa ushahidi wa yeye kukuharibia kwa kaka yake. Au baada ya hapo mmeshatumiana msg za mapenzi???

u r appreciated
 
sijui ni vipi lakini naona kuwa
wadada wanapokuwa wawili peke yao
kitandani wengi wao huishia kupapasana na zaidi ya hapo...
inaonekana sex kati ya wadada kwa wadada iko saana lakini
inafanywa kama sio common ki hivyo..
 
Back
Top Bottom