Hiki kisa kilinifanya nimchukie Nape na nilikuwa tayari kuwapiga ngumi Usalama wa Taifa

Hivi nyie usalama wa taifa mnawajua au mnawasikia? Kujiamini kupitiliza ni janga

Tena kama hapo walipokuwa Usalama zaidi ya mmoja ungerusha ngumi yangekukuta makubwa

Kuna dogo mmoja wa Usalama wa taifa ilikuwa Disco Musoma hiyo miaka ya nyuma kipindi cha JK ana mwili mdogo mdogo unaweza mdharau kabisa ila zilizuka ngumi alipiga watu unaweza sema anatumia uchawi walipigwa watu tifu lilikuja kuzimika wameshapotea
Hizo hadithi za zamani kwamba Usalama wa Taifa anajua hata unafikiria nini ndo zimewehusha watu. Lkn ukionana nao zaidi ya Mara tatu utajua ni wa kawaida tu tena wale intake ya JK ndo kabisaaa bora wale wa vipaji enzi za nyuma. Hii intake ya uvccm ya awamu hii nayo naona ni ya makundi tu
 
Miaka kumi iliyopita,nikiwa jijin Dar kwa makonda henzi hizo yy nadhani alikuwa bado yupo koromje.

Ilikuwa siku ya jumamosi,nilifika pale kijitonyama enzi hizo kulikuwa na bar moja iliitwa Breakpoint.

Nikiwa pale na washikaji zangu ilikuwa mida ya saa mbili asubuh,enzi hizo Break Point ilikuw bar kubwa sanaa. Tukiwa tunakula zetu mtori mtam alifika Nape na wenzake wakaagiza Mtor kama sisi.

Baada ya kunywa mtor bahat mbaya Nape kama mnavo jua watu wenye vibur vya madaraka hata ulaji wao huwa ni wa kimajivuno.

Wakat Nape akiwa anakula alijidodonsshea mtori kweny shat yake nyeupe.

Ilibidi amuite muudumu ili amletee Tishu ajifte haraka,yule mhudum alipofika Nape akamwambia amletee tishu haraka.

Yule mhudum ikabidi achukue na oda za wateja wengine nikiwemo mimi sasa nikimwagiza bia enzi hizo nilikuwa nakunywa SAFAR LAGA.pumzika Safari Laga.nakumis ila ndo hivyo sikunywi tena.

Yule dada alimletea Nape Tishu ndani ya dakika tano au kumi hivi Nape alikasirika sana na kuamua kumzaba kibao yule Mhudumu.

Kwa wale wakongwe wa Dar pengine tukimuondoa mkuu wenu wa mkoa,nadhani mtakuwa mnaikumnuka hiyo hiyo Bar ilikuwa Bar yenye wahudumu walio jielewa sana na ulikuwa unashangaa kuona mhdum wa bar alikuwa anapaki gar pembeni gar ya maana na anaingia kazini.

Sasa Nape siku hiyo aliingia kweny anga za mhudum aliejitambua hakkujar cheo wala nn alimkunja Nape ndipo vijana ambao wanaitwa usalama wa taifa wakaingilia kati.

Nakumbuka wale vijana walimkwida yule mhudum na mm sikuangalia ni nani wala nini niliingilia kati na kuwataka wamwache atwangane na Nape ili wapeane heshima.

Enzi hizo bwana mkubwa alikuwa katibu mwenezi wa chama chao cha mapinduzi

Kusema kweli ni mapenzi ya Mungu nilimchukia Nape mpaka leo stakagi hata kumuona.

Ipo siku ntaelezea jinsi ambavyo nilitaka kumpiga makonda kwenzi ila usalama akanizuia,hiv wew msomaji wangu wajua hapa Tanzania kuna wakati usalama wa taifa walijua kuwa kazi yao ni kuwalinda wanaccm tu hasa viongozi
je na wewe ni usalama?
 
kwahyo we unadhani usalama ndo wanajua ngumi peke yao..hahaaaaa kuna watu mtaani wanapga ngumi kama sifa babu..hao alijipigia mazumbukuku yasiyojua mkono NB:naungana nawewe kama mtu hajui ngumi asiwarushie awa jamaa maana ataulaumu mkono wake kwanini ulinyooka kutoka kwapani

Ogopa sana mtu ambae amefundishwa kupigana halafu ana akili

Nimewahishuhudia mjeda ambae kumkamata inabidi liende gari full la Askari tena wenye bunduki, mnaweza enda kundi anawapiga wote
 
sasa nakwambiaje mtaani kuna watu wanapiga ngumi,shule wamewazidi hata baadhi ya hao wajeda..tena wanajua michezo ya hatari
 
Miaka kumi iliyopita,nikiwa jijin Dar kwa makonda henzi hizo yy nadhani alikuwa bado yupo koromje.

Ilikuwa siku ya jumamosi,nilifika pale kijitonyama enzi hizo kulikuwa na bar moja iliitwa Breakpoint.

Nikiwa pale na washikaji zangu ilikuwa mida ya saa mbili asubuh,enzi hizo Break Point ilikuw bar kubwa sanaa. Tukiwa tunakula zetu mtori mtam alifika Nape na wenzake wakaagiza Mtor kama sisi.

Baada ya kunywa mtor bahat mbaya Nape kama mnavo jua watu wenye vibur vya madaraka hata ulaji wao huwa ni wa kimajivuno.

Wakat Nape akiwa anakula alijidodonsshea mtori kweny shat yake nyeupe.

Ilibidi amuite muudumu ili amletee Tishu ajifte haraka,yule mhudum alipofika Nape akamwambia amletee tishu haraka.

Yule mhudum ikabidi achukue na oda za wateja wengine nikiwemo mimi sasa nikimwagiza bia enzi hizo nilikuwa nakunywa SAFAR LAGA.pumzika Safari Laga.nakumis ila ndo hivyo sikunywi tena.

Yule dada alimletea Nape Tishu ndani ya dakika tano au kumi hivi Nape alikasirika sana na kuamua kumzaba kibao yule Mhudumu.

Kwa wale wakongwe wa Dar pengine tukimuondoa mkuu wenu wa mkoa,nadhani mtakuwa mnaikumnuka hiyo hiyo Bar ilikuwa Bar yenye wahudumu walio jielewa sana na ulikuwa unashangaa kuona mhdum wa bar alikuwa anapaki gar pembeni gar ya maana na anaingia kazini.

Sasa Nape siku hiyo aliingia kweny anga za mhudum aliejitambua hakkujar cheo wala nn alimkunja Nape ndipo vijana ambao wanaitwa usalama wa taifa wakaingilia kati.

Nakumbuka wale vijana walimkwida yule mhudum na mm sikuangalia ni nani wala nini niliingilia kati na kuwataka wamwache atwangane na Nape ili wapeane heshima.

Enzi hizo bwana mkubwa alikuwa katibu mwenezi wa chama chao cha mapinduzi

Kusema kweli ni mapenzi ya Mungu nilimchukia Nape mpaka leo stakagi hata kumuona.

Ipo siku ntaelezea jinsi ambavyo nilitaka kumpiga makonda kwenzi ila usalama akanizuia,hiv wew msomaji wangu wajua hapa Tanzania kuna wakati usalama wa taifa walijua kuwa kazi yao ni kuwalinda wanaccm tu hasa viongozi

Mkuu unaweza eleza kidogo mzee Safari Lager alikufanyia nini mpaka sasa haumywi tena? Cause he also used to be my friend
 
Wewe ulishamchapa mhudumu kibao ? Kuna vitu sio vidogo kabisa.
Unaweka kumbukumbu ya vitu vidogovidogo kama kama sio mwanaume bana.. kitukio kimoja cha kumwagiana mtori baa kimekukaa kwenye ubongo kwa miaka yote hiyo je ungeshuhudia ditopile akimtwanga shaba na kumuua dereva wa daladala si ubongo wako ungekua unatiririka jasho kila siku
 
IMG_4198.JPG
 
Miaka kumi iliyopita,nikiwa jijin Dar kwa makonda henzi hizo yy nadhani alikuwa bado yupo koromje.

Ilikuwa siku ya jumamosi,nilifika pale kijitonyama enzi hizo kulikuwa na bar moja iliitwa Breakpoint.

Nikiwa pale na washikaji zangu ilikuwa mida ya saa mbili asubuh,enzi hizo Break Point ilikuw bar kubwa sanaa. Tukiwa tunakula zetu mtori mtam alifika Nape na wenzake wakaagiza Mtor kama sisi.

Baada ya kunywa mtor bahat mbaya Nape kama mnavo jua watu wenye vibur vya madaraka hata ulaji wao huwa ni wa kimajivuno.

Wakat Nape akiwa anakula alijidodonsshea mtori kweny shat yake nyeupe.

Ilibidi amuite muudumu ili amletee Tishu ajifte haraka,yule mhudum alipofika Nape akamwambia amletee tishu haraka.

Yule mhudum ikabidi achukue na oda za wateja wengine nikiwemo mimi sasa nikimwagiza bia enzi hizo nilikuwa nakunywa SAFAR LAGA.pumzika Safari Laga.nakumis ila ndo hivyo sikunywi tena.

Yule dada alimletea Nape Tishu ndani ya dakika tano au kumi hivi Nape alikasirika sana na kuamua kumzaba kibao yule Mhudumu.

Kwa wale wakongwe wa Dar pengine tukimuondoa mkuu wenu wa mkoa,nadhani mtakuwa mnaikumnuka hiyo hiyo Bar ilikuwa Bar yenye wahudumu walio jielewa sana na ulikuwa unashangaa kuona mhdum wa bar alikuwa anapaki gar pembeni gar ya maana na anaingia kazini.

Sasa Nape siku hiyo aliingia kweny anga za mhudum aliejitambua hakkujar cheo wala nn alimkunja Nape ndipo vijana ambao wanaitwa usalama wa taifa wakaingilia kati.

Nakumbuka wale vijana walimkwida yule mhudum na mm sikuangalia ni nani wala nini niliingilia kati na kuwataka wamwache atwangane na Nape ili wapeane heshima.

Enzi hizo bwana mkubwa alikuwa katibu mwenezi wa chama chao cha mapinduzi

Kusema kweli ni mapenzi ya Mungu nilimchukia Nape mpaka leo stakagi hata kumuona.

Ipo siku ntaelezea jinsi ambavyo nilitaka kumpiga makonda kwenzi ila usalama akanizuia,hiv wew msomaji wangu wajua hapa Tanzania kuna wakati usalama wa taifa walijua kuwa kazi yao ni kuwalinda wanaccm tu hasa viongozi
too low too low
 
Team ya kina Nappe imejaa watu fedhuri sanaaa Nappe ni majivuno. Kuna majangili humo, Kuna kina rostam madili Kuna Membe wakujitengenezea fursa ila tutafanyaje tunatafuta unafuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom